Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wafanyakazi,wakulima na wafanyabiashara wamechoka,hawako tayari kusikiliza porojo hizo za uzalendo uchwara kutoka kwa watu wachache waliojimilikisha hatimiliki ya kufanya maamuzi.Wote hovyo ni wachumia tumbo hamna mzalendo hapo. Uzalendo wao ni wa porojo tu
CC na NEC wakifanya hilo kosa la kushindanisha bwana mkubwa na wa gombea wengine hilo ndolitakua kosa la karne......Na ndio itazidisha chungio la kuchekechea kuwa kali kwa watakaopitishwa kwenye CC na NEC, hapo ndio utajuwa hicho kitisho kilivyo cha juu sana
Sema Watakuvusha salama na si "watatuvusha" salamaYamesemwa mengi sana juu ya hizi sura mbili na ukiona watu wanakusema sana basi ujuwe unakubalika.
Twende sasa na hawa viumbe watatuvusha salama.View attachment 954219
Wanalala na viatuMembe 2020, kazi na bata. Hananyima watu usingizi
Unalinganisha mafi na dhahabu,Kwa JF hili haliwezi kupita hivihivi. Ni nani anaweza kupeperusha kwa ufasaha bendera ya CCM 2020. Tusizingatie kigezo cha kuwa na dola. Tuzingatie uwezo wa kuongoza na vision ya Tanzania tunayoitaka
WATATUVUSHA SALAMA SISI WATANZANIA MILIONI 50Sema Watakuvusha salama na si "watatuvusha" salama
Membe our presidentYamesemwa mengi sana juu ya hizi sura mbili na ukiona watu wanakusema sana basi ujuwe unakubalika.
Twende sasa na hawa viumbe watatuvusha salama.View attachment 954219
CC na NEC wakifanya hilo kosa la kushindanisha bwana mkubwa na wa gombea wengine hilo ndolitakua kosa la karne......
T1.5 zimeingia tumboni.Wote hovyo ni wachumia tumbo hamna mzalendo hapo. Uzalendo wao ni wa porojo tu