Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Hivi huyu jiweeee si anajinasibu kuwa yeye haogopi kitu?? Kumbe ni muogaaa hatari

Kama anapendwa aruhusu waende kwenye kura za maoni Vs membe Mzee wa #kazinabata#
 
Bado tujaziskia porojo za Membe.....though CCM ni ile ile tu miaka kenda miaka kundi
 
Inaonyesha hata JKT hujapitia kama hujui ni ni maana ya uzalendo pole sana maana naona hujui unacho kiongea
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] me nacheka jinsi unavyoujua ukweli na kukumbatia uwongo..
Wazalendo ni soldier mkuu..... Hawa ni raia "wakakamavu" kama Mimi na wewe
 
Membe kwenye social media kashinda 100% ila kwenye kura za chama jpm kashinda 100%
 
Inaonyesha hata JKT hujapitia kama hujui ni ni maana ya uzalendo pole sana maana naona hujui unacho kiongea
Nimepita jkt Mafinga .... Only soldier ndo mzalendo wananchi kama Mimi na wewe ni wananchi wakakamavu tu na si kingine.
 
Wakati unaingia kambini ulala usingizi,kitu cha kwanza unapo ingia kambini unaambiwa kabla ya kuanza mafunzo unaondolewa kwanza maji magotini na uzalendo wa mitaani

Yale ni maneno tu ya kukuondoa mood ya mtaa na c uzalendo wenyewe..
 
Tuko tayari kushirikiana na yeyote atakayewezesha kung'oa ccm madarakani .
 
Huu ndo upuuzi sasa kwani tofauti na hao hakuna wengine wenye uwezo wa kutuongoza..au ndo mnaanza kutuaminisha kama ilivyokua kwa EL kabla ya kutimkia CDM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…