Achimwene-Masasi
Member
- Nov 26, 2018
- 72
- 47
Tuwasheni green lights Membe apite[emoji613][emoji594][emoji595][emoji600]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona 2020 mbali sana!! Si tufanye kama Afrika kusini tu.... Tumtafute Ramaphosa wetu hapa tukiwashe ndani kwa ndani.
frustration wakati JPM yuko madarakani?
unajua ulichoongea?
Wazo mujarabu kabisaMbona 2020 mbali sana!! Si tufanye kama Afrika kusini tu.... Tumtafute Ramaphosa wetu hapa tukiwashe ndani kwa ndani.
CHADEMA hakuna anayetosha kwani?
CHADEMA hakuna anayetosha kwani?
Tunachohitaji ni kuifurumusha ccm hapa habari za chama hazina mashiko
Habari za muda mabibi na mabwana!
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nawashauri wanachama wenzangu na wananchi kwa ujumla. Mwaka 2020 tusipoteze tena kama ilivyotokea mwaka 2015. Haya yote ni kwa sababu hatukutulia vizuri katika mchujo wa kumpata kiongozi bora.
Karibuni kwa maoni yenu.
====
Member naye atakuja na yake....
Ni mdogo wake wa mama mmoja na "kicheka cheka"...
Sasa mwenye ubongo tutamjua na mwenye akili tutamfahamu hapo!
Hahahaha
Uwiii
Chadrama mcharuko imbeciles
Member naye atakuja na yake....
Ni mdogo wake wa mama mmoja na "kicheka cheka"...
Sasa mwenye ubongo tutamjua na mwenye akili tutamfahamu hapo!
Kipaumbele chetu cyo katiba mpya ni kuua upinzani na kuwanunua wote hatutaki kupingwa ifikapo 2020 bungeni wote ni ndiyo mzee na hakuna wa kuibua hoja zaidi ya ndiyo kwa kila kitu[emoji2] [emoji2] [emoji10]Kumbe Magu amewalipa sio?!!!!!! Aaaaaaa ndio maana UKASUKU mwingi. Kazi kwenu ila sie twataka KATIBA ifatwe baada ya miaka 5 warudi ulingoni wachapane kwani shida iko wapi?