UPOPO
JF-Expert Member
- Dec 17, 2010
- 3,563
- 5,687
Si wapinzani wala watanzania wanamtaka Membe ila wanajua weakness ya bwana yule ndio maana wanamtingisha watakavyo.Yajayo yanafurahisha,watajitokeza wengi sana kwa mtindo huo.Kwa sasa anaogopa mpaka kivuli chake mwenyewe nimeona Arusha analindwa mpaka na Helcopta sijawahi ona kumbe kufa kubaya ?Yajayo ni mazuri kwa kweli