Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndani ntiti nje ntiiMembe oyeeee [emoji106][emoji106]
Membe safii [emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]
[emoji41]
Kama mtoto vile!Tangu lini kutangaza nia likawa kosa. Tunaelekea wap?
Hiyo ni fursaHivi kumbe Membe ni Darkari wa Falsafa?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
awamu ya 4 Tuliongea sana na mabeberu vizuri sasa ni wakati wa Hapakazitu
Wa sasa ni muongo kweli kweliHahahahaaaa! Watu mna maneno!Eti atabonga fresh na mabeberu!!
Mabwege hayo mizee ya kudaka kila takataka inayotupwa kwaoAwamu ya 4 Tuliongea sana na mabeberu vizuri sasa ni wakati wa Hapakazitu
Wewe nakuona kama vile unaota ndoto ya mchana. Kama ni urais, basi mumushauri huyo Membe ajiandae kugombea 2025 na siyo 2020. Lowasa naye alijiandaa kabla ya 2015, Kilichomtokea nadhani wote tulishuhudia, sembuse Membe!!Habari.
Ni tofauti na sasa tumekuwa tukiongopewa nawaomba mwanaccm hii ni fursa yenu. Kukitoa chama kwenye makucha ya uongo na kukipeleka kwenye ukweli.
Maana cha chenu kina kauli " Nitaongea ukweli daima, uongo kwangu mwiko "
Mabeberu wana mbinu nyinyi sana na kwenye mikataba yao hutumia lugha ya kiingereza, sasa kama rais hatakuwa hayupo vizuri kwenye lugha tutabingwa za uzo.
Nawatakia mabadiliko mema mwanaccm.
mr mkiki. View attachment 955259View attachment 955261