Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Hoja ya kipumbavu sana yaani english kiwe kigezo cha kumchagua mtu kuwa Rais?
Ni nani aliyewaroga mbona upumbavu unazidi kuwaandama?
 
Habari.

Ni tofauti na sasa tumekuwa tukiongopewa nawaomba mwanaccm hii ni fursa yenu. Kukitoa chama kwenye makucha ya uongo na kukipeleka kwenye ukweli.

Maana cha chenu kina kauli " Nitaongea ukweli daima, uongo kwangu mwiko "

Mabeberu wana mbinu nyinyi sana na kwenye mikataba yao hutumia lugha ya kiingereza, sasa kama rais hatakuwa hayupo vizuri kwenye lugha tutabingwa za uzo.

Nawatakia mabadiliko mema mwanaccm.

mr mkiki. View attachment 955259View attachment 955261

I thought you will be the last person to use swahili language......
 
Back
Top Bottom