Yale ni maneno tu ya kukuondoa mood ya mtaa na c uzalendo wenyewe..
Tuko tayari kushirikiana na yeyote atakayewezesha kung'oa ccm madarakani .
Unamaanisha mdomo uumba? Basi sawa[emoji23]
Huu ndo upuuzi sasa kwani tofauti na hao hakuna wengine wenye uwezo wa kutuongoza..au ndo mnaanza kutuaminisha kama ilivyokua kwa EL kabla ya kutimkia CDM
Pumbavu
Hauamini kama nimepita jkt basiUsibishane kwa jambo usilolijua naona unaongea usilolijua,nakutakia mchana mwema
Sio kweli hata huyo aliepewa kesi ameshawahi kujaribu mara kadhaa na bado hakutosha..sio lazima tuongozwe na ccm wala chadema bali tuongozwe na mtu mwenye vision ya nini Dunia sahiv inatakaWengine tayari mshawapa kesi sasa tuhamia second option
Sio kweli hata huyo aliepewa kesi ameshawahi kujaribu mara kadhaa na bado hakutosha..sio lazima tuongozwe na ccm wala chadema bali tuongozwe na mtu mwenye vision ya nini Dunia sahiv inataka
Tatzo lako mjuaji sanaNaomba soma vizuri kilichoandikwa
Tatzo lako mjuaji sana
Kujua sana ni ujingaNikweli najua sana
Anapambana na akina Mbowe wakati wapinzani wake wako chumbani kwake uvunguni kwenye kitanda alichojaza mafaili
Kujua sana ni ujinga
Mchana Mwema Ndugu YanguSawa
Nasikia chama kipya kinakuja. 2020 kutawaka moto kwani wengi watakuwa ni ccm asilia dhidi ya ccm wahamiaji au waunga nkono au watia hasara wa taifaCcm kucheeeleeee
Mchana Mwema Ndugu Yangu
Nasikia chama kipya kinakuja. 2020 kutawaka moto kwani wengi watakuwa ni ccm asilia dhidi ya ccm wahamiaji au waunga nkono au watia hasara wa taifa