Umepaniq, kakojoe ulale urais sio Mali ya bwana jiwe fullstopHata sasa mfanye awe rais wa familia yako. Ukishakunywa ukalewa unaanza kuongea mataka taka.... Yaani membe naye awe rais?mitanzania sijui imerogwa na nani...inakosa akili hata ndogo tu za uelewa... Mnataka kutuletea matakataka mengine ikulu? Mnaleta kichefu chefu kwenye mambo ya msingi...hovyo kabisa .. awe rais na mumeo kbisa.wewe na familia yako.umetutukana sana
CCM ni chama imara na hatupangiwi nani awe rais - hata hivyo JPM bado anatufaa kwa kipindi hicho - msituingilie chaguzi za ndani
Ninasema tena...mwacheni baba Jesca aongoze nchi jamani.. Nchi ipo kwenye mikono salama ya jembe letu mpaka 2025...tukifika 2024, Membe, team wama, baba moko,nape,kinan karibuni uwanjani na striker wetu wa kuaminiwa si mwingine ni jasusi wa kutukuka Camilus Membe...
HahahahaDuh ! Kwa hiyo unaiombea kwa Mungu CCM iendelee kutawala JMTZ? Kweli chadema ni zaidi ya uwajuavyo kwa maana hata wanataka nini maishani hawajui!
Membe hafai mara elfu Bora ya Magufuli
DuhMembe hafai mara elfu Bora ya Magufuli
Jiwe akae pemben membe tukua nchiwanaccm wanamtaka membe 2020 apeperushe bendera ya chama
[emoji38] [emoji38] [emoji38]Mbona tunae rais wetu mtukufu jiwe aka kichaa?
πππ
Ameihujumu nchi.tunataka mabadiliko ya dhati.[emoji38] [emoji38] [emoji38]
Hivi kuna mtu mwenye akili timamu bado anaamini hii mizimu ya kijani itatuvusha kutupeleka popote ?Habari za Weekend.
Ni yeye tu sasa hivi ndiye tegemeo letu. Hamna namna LAZIMA awe rais.
Benadi NJoo baba.Naita Membe kwa sauti kubwa.
Membe mtu unayejua diplomasia ya uchumi na mbobezi uliyetukuka nakuita mzee popote ulipo njoo Benard Membe.