Ndugu wa Trump
JF-Expert Member
- Nov 9, 2016
- 958
- 703
Masikini bavicha! Kwahiyo chama chenu hakitakuwa na mgombea?Kazi na bata
umemsahau mjomba wako wa mererani.KAZI NA BATA.... salam za kwanza zimfikie baba yangu akiwa hapo tandale, za pili zimfikie mamdogo alielangua korosho pale mtwara, za tatu ziende kwa wafanyabiashara wote wa pale k/koo na nne na za mwisho zimfikie mwalim wangu wa primary akiwa pale arusha bila kuwasahau ndugu na jamaa zangu wote
Tutakupa ugombe wewe kimaMasikini bavicha! Kwahiyo chama chenu hakitakuwa na mgombea?
Tutajuaje kuna wizi wa kura?Piga kura Membe vs. magufuli 2020!
Je 2020 ni kazinabata au hapakazitu!
Twende kazi 15/12/2018 tutapata majibu
Jaza mwenyeweMasikini bavicha! Kwahiyo chama chenu hakitakuwa na mgombea?
Nafasi zeneyewe za kutuma salam ni chache.. mbona hata Nesi yule aliemponyesha kaka sijamsalimiaumemsahau mjomba wako wa mererani.
Habari za muda mabibi na mabwana!
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nawashauri wanachama wenzangu na wananchi kwa ujumla. Mwaka 2020 tusipoteze tena kama ilivyotokea mwaka 2015. Haya yote ni kwa sababu hatukutulia vizuri katika mchujo wa kumpata kiongozi bora.
Karibuni kwa maoni yenu.
====
jikite kwenye mada .vipi kwa upande wa Chadema