Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

KAZI NA BATA.... salam za kwanza zimfikie baba yangu akiwa hapo tandale, za pili zimfikie mamdogo alielangua korosho pale mtwara, za tatu ziende kwa wafanyabiashara wote wa pale k/koo na nne na za mwisho zimfikie mwalim wangu wa primary akiwa pale arusha bila kuwasahau ndugu na jamaa zangu wote
umemsahau mjomba wako wa mererani.
 
Mods lazima wakalishwe kiti moto huu uzi hauna uhai
 
CCM hatupangiwi - kura za maoni hazitoshi kufikia mwafaka wa kupata mgombea
 
Habari za muda mabibi na mabwana!
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nawashauri wanachama wenzangu na wananchi kwa ujumla. Mwaka 2020 tusipoteze tena kama ilivyotokea mwaka 2015. Haya yote ni kwa sababu hatukutulia vizuri katika mchujo wa kumpata kiongozi bora.
Karibuni kwa maoni yenu.
====
 
Back
Top Bottom