No even single 'like' this means your words are extremly super pumbaSiasa ni mchezo mchafu na uchafu huu hauishii tu kukamilisha ule usemi wa wanasiasa kwamba Kwenye Siasa hakuna Rafiki/Adui wa Kudumu bali hata kufanya siasa za uongo.
Zitto ndiye Mwanasiasa anayeongoza kwa kutumia vizuri Siasa zake kuwalaghalai Wananchi na hivyo kumpenda.
Siku za hivi Karibuni Zitto ameonekana kusema uongo uongo Mwiiiingi ili mradi tu aonekane ni mwiba kwa Serikali(Kama ingekuwa ile Serikali walioiita legelege bila shaka angefaulu)
Miongoni Mwa Uongo wake ni yale Madai yake kwamba Ndege yetu kubwa eti ilikuwa Mtumba, Kwamba Serikali ilitumia Tr.1.5 bila kuidhinishwa na Bunge, Masuala ya Korosho za Mtwara, Kwamba tumekopa Fedha Urusi kwa ajili ya kununua Mataruma ya Reli wakati yanatengenezwa humu humu nchini yooote Yoote haya ni Mchezo mchafu wa Siasa, hayana ukweli wowote.
Hata hivyo kwasababu Maneno ya Wanasiasa kwa Mtanzania wa Kawaida ni Kama Maandiko ya Kitabu Kitakatifu cha Mungu (Biblia au QURÁN), nadhani atakuwa amejijenga na kukijenga vizuri Chama chake cha ACT-WAZALENDO. Ndiyo Siasa zetu hizo , uongo uongo, ulaghai laghai,, Nyota ikikuwakia unakua Juu.
Kuna mchezo Wapinzani wanaucheza wa Kumfagilia Benard Membe ili ahamie Upinzani. nimeshajiridhisha kwamba Membe atahamia Upinzani na ni ACT-WAZALENDO. Endapo hili litafanikiwa, 2020 ACT-Wazalendo ni Chama Kikuu cha Upinzani.
Hii Mada iwe kama kumbukumbu 2020 tutafanya rejea.
Nawatakia Ijumaa Njema.
Hakuna ubaya wowote. Na ni vema na haki.
CCM hii hii ya stone na bashite atapotezwa
Angekuwa yule jamaa ungemsikia huyu ndiyo mwanaume kwa sababu kavaa suruali kama yeyeView attachment 970182
Sisi ndio tuliojichanganya kwenda Chato unaona Stateman anavyotakiwa kuwa anamcontrol mgeni wake
View attachment 970182
Sisi ndio tuliojichanganya kwenda Chato unaona Stateman anavyotakiwa kuwa anamcontrol mgeni wake
Mkuu MoN, kwanza asante kwa bandiko hili,Kwa sasa kuna mvutano ndani ya CCM kuhusu uhalali wa watu wengine kugombea nafasi ya uraisi wakati aliyekalia kiti bado anaruhusiwa kugombea tena kwa mujibu wa katiba. Lakini huu ni mtazamo usio sahihi
Kwa Tanzania hii, kwa uchaguzi wa 2020, hakuna mazingira yoyote kumfanya Magufuli asidhinde unless kama ni yale ya EU na US kutuleta vibaraka wao, ila pia imeisha zungumzwa sana kuwa CCM itatawala milele.1. Iwapo muda wa uchaguzi utafika, halafu mazingira ya kisiasa yakafika ikaonekana chama kitapoteza uchaguzi kwa kumsimamisha tena Magufuli, itakuwa ni suicidal kulazimisha agombee ( Labda kama kina Plan B ya ushindi nje ya sanduku la kura).
This is very valid point, hakuna ajuaye, hivyo hata ile ndoto ya Lema inaweza kutimia, ni muhimu vyama vikawa na succession plan, hii huwa inafanywa na the inner core, kisirisiri, CCM hii kitu ipo, angalia tarehe ya bandiko hili2. Duniani hakuna anayejua ya kesho, Mungu pekee ndiye anayejua ya kesho, Uzima na afya zetu ziko mikononi mwa Mungu, kutokana na ukweli huu lazima kila Taasisi na siyo CCM tu bali hata vyama vya upinzani, lazima viwe na plan B ikitokea emergency!. Naambiwa hata kwenye mambo ya kiserikali, protokali zinataka chain of command ilindwe, ili ikitokea dharura basi mtu ambaye yupo katika chain of command anatake over smoothly!. Je CCM plan B ni nini?, Nani ameandaliwa na chama kushika nafasi iwapo mgombea anayetegemewa hatokuwa katika nafasi ya kugombea?.Au mnataka kuzima moto na kulipualipua kumleta mtu ambaye hajajiandaa kushika usukani kwa tiketi ya chama?. Swali hilihili linapaswa kuulizwa kwa vyama vya upinzani pia
Kwa upande wa sifa za Membe ni kweli anazo, ila hili likitokea, kuna akina sisi wengine, itatubidi tutafute pa kuhamiaNadhani Kammilius Membe atakuwa rais mzuri kwa sababu
1. Ana exposure, yuko sophisticated, hana mambo ya kilugaluga
2. Ana Akili nyingi sana, reflection ya I.Q yake ni Diplomasia iliyoenda shule. Ana first class huyu chuo kikuu maana yake ni kwamba hahitaji kutumia misuli mingi kung'amua kilicho bora na sahihi kwa nchi ukilinganisha na wale wenye shule za kuunga unga hadi kuwa madoctor au Maprofesa
3. Ni Jasusi aliyebobea, anaijua nchi nje ndani, amefanya kazi "kitengo" ofisi ya rais tangu akiwa kijana mbichi, anaijua Ikulu, anajua power za Ikulu. anajua afanye nini ili kuweka mambo sawa
4. Ana ajenda kabambe ya uchumi, anajua kuwa elimu yetu inahitaji restructuring, kuwekeza kwenye vyuo vya ufundi etc
5. Siyo Mdini, hawezi kufanya teuzi za ubaguzi wa waziwazi wa kidini, Siyo mkanda, siyo mkabila
CCM mwacheni Membe apige Jalamba!
Ww ushawai kufika mtama b4 n after membe,?Huyu maembe wa mtama, hebu mleta mada tuambie kwa muda woote aliokuwa madarakani alilisaidia nini jimbo lake na wapiga kura wake, acheni unafiki nyinyi wanamtandao msitulishe ujinga wenu humu
CCM wana akili timamu, ndio maana wakaweka utaratibu wa kutokuwa na ushindani baada ya miaka 5.Kwa sasa kuna mvutano ndani ya CCM kuhusu uhalali wa watu wengine kugombea nafasi ya uraisi wakati aliyekalia kiti bado anaruhusiwa kugombea tena kwa mujibu wa katiba. Lakini huu ni mtazamo usio sahihi kwa sababu zifuatazo
1. Iwapo muda wa uchaguzi utafika, halafu mazingira ya kisiasa yakafika ikaonekana chama kitapoteza uchaguzi kwa kumsimamisha tena Magufuli, itakuwa ni suicidal kulazimisha agombee ( Labda kama kina Plan B ya ushindi nje ya sanduku la kura). Katika muktadha huu, ni muhimu chama kikawa na mtu au watu wenye uwezo wa kusimama na kuuzika na kukubalika. Kwa hiyo ni muhimu sana kwa watu kama Kammilius Bernad Membe kuendelea kupiga Jaramba ili Chama kitakapoamua basi aweze kubeba bendera kwa weledi zaidi na kukipa chama ushindi
2. Duniani hakuna anayejua ya kesho, Mungu pekee ndiye anayejua ya kesho, Uzima na afya zetu ziko mikononi mwa Mungu, kutokana na ukweli huu lazima kila Taasisi na siyo CCM tu bali hata vyama vya upinzani, lazima viwe na plan B ikitokea emergency!. Naambiwa hata kwenye mambo ya kiserikali, protokali zinataka chain of command ilindwe, ili ikitokea dharura basi mtu ambaye yupo katika chain of command anatake over smoothly!. Je CCM plan B ni nini?, Nani ameandaliwa na chama kushika nafasi iwapo mgombea anayetegemewa hatokuwa katika nafasi ya kugombea?.Au mnataka kuzima moto na kulipualipua kumleta mtu ambaye hajajiandaa kushika usukani kwa tiketi ya chama?. Swali hilihili linapaswa kuulizwa kwa vyama vya upinzani pia
Kwa hiyo kwa mujibu wa sababu hizo kubwa mbili. Ni muhimu sana kwa Kammilius Membe kuendelea kupiga Jaramba mdogomdogo.Wahafidhina wa CCM wanaonufaika leo watamchukia, lakini kuendelea kujinoa na kuwa tayari ni muhimu si kwa chama chake tu, bali kwa Taifa zima!. Taifa halihitaji mtu aliyekurupuliwa from nowhere na kupewa urais, Taifa linahitaji Mtu aliyejiandaa vyema, mwenye malengo kuja kuwa raisi
Nadhani Kammilius Membe atakuwa rais mzuri kwa sababu
1. Ana exposure, yuko sophisticated, hana mambo ya kilugaluga
2. Ana Akili nyingi sana, reflection ya I.Q yake ni Diplomasia iliyoenda shule. Ana first class huyu chuo kikuu maana yake ni kwamba hahitaji kutumia misuli mingi kung'amua kilicho bora na sahihi kwa nchi ukilinganisha na wale wenye shule za kuunga unga hadi kuwa madoctor au Maprofesa
3. Ni Jasusi aliyebobea, anaijua nchi nje ndani, amefanya kazi "kitengo" ofisi ya rais tangu akiwa kijana mbichi, anaijua Ikulu, anajua power za Ikulu. anajua afanye nini ili kuweka mambo sawa
4. Ana ajenda kabambe ya uchumi, anajua kuwa elimu yetu inahitaji restructuring, kuwekeza kwenye vyuo vya ufundi etc
5. Siyo Mdini, hawezi kufanya teuzi za ubaguzi wa waziwazi wa kidini, Siyo mkanda, siyo mkabila
CCM mwacheni Membe apige Jalamba!
Ukisema Membe aendelee kujiandaa kama ndio kibaraka wa US na EU anayeandaliwa kumreplace Magufuli, hapo tutakuelewa, lakini kwa sisi tunaomfahamu Membe, huyu huyu... bado sana!.
P.
Kwa sasa kuna mvutano ndani ya CCM kuhusu uhalali wa watu wengine kugombea nafasi ya uraisi wakati aliyekalia kiti bado anaruhusiwa kugombea tena kwa mujibu wa katiba. Lakini huu ni mtazamo usio sahihi kwa sababu zifuatazo