Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

"Wana jamvi tuliochoshwa na huu utawala wa mtawala wa nchi ile hebu tuimbe haka kanyimbo hadi asikie aelewe kuwa hatuutaki uongozi wake na matendo yake"

Nimepita kijiwe cha wana CCM kindakindaki nimesikia wakiimba na kuelezana. Kweli wamemchoka!
Mkuu heshimu utawala uliowekwa kisheria umemchoka wewe sisi tunamtaka sana aendele kunyoosha nchi.
 
"Wana jamvi tuliochoshwa na huu utawala wa mtawala wa nchi ile hebu tuimbe haka kanyimbo hadi asikie aelewe kuwa hatuutaki uongozi wake na matendo yake"

Nimepita kijiwe cha wana CCM kindakindaki nimesikia wakiimba na kuelezana. Kweli wamemchoka!
Mbona segerea wanaimba wana imani na Mbowe?!!!
 
Mmemponza Lissu wa watu,mkamfanya ajione mgombea muhimu 2020 kuweza kumuondoa JPM, mlimjaza ujinga akaanza kuropoka hovyo hovyo akafikia mpaka kuisaliti nchi yake kwa mabeberu ili mradi ionekane JPM hafanyi kazi. Mkawa mnaimba humu JF kwamba 2020 ni Lissu pekee ndo wa kumuondoa JPM naye akavimba kichwa. Ndo umeisha mwaka na miezi mitatu tangu alazwe tayari mmeshamsahau sasa hivi ni MEMBE ndo yupo akilini mwenu.Ndo maana tangu kelele kuhusu Membe zianze humuoni Lissu akiongea lolote, ndo ameanza kuwaelewa watanzania vizuri, alidhani ana wafuasi kweli waliosema ni Lissu pekee wa kushindana na JPM 2020 sasa hivi anawashangaa mmehamia kwa Membe mwanaCCM, Kinachoshangaza ni kuwa MEMBE ni CCM damu, na akifukuzwa uanachama atahamia CDM na usishangae 2020 akapitishwa na CDM kugombea uraisi. Hapo ndo utakapoelewa kwanini mwaka 2015 mliitwa NYUMBU na mkawa mnazungusha mikono. Kila zengwe mnaloletewa mnalidandia bila kutumia akili.Waliosema CCM itatawala milele walishaziona akili zenu, ni kama ubongo wa kuku. Mnasahau haraka sana. Yale yale ya Ngoyai yatajitokeza tena na bado mtadeki barabara.
 
Najaribu tu kuwakumbusha wale wenye tabia za kusahau kuwa kwenye hii CCM mpya hakuna aliye maarufu kuliko chama, na lolote lawezekana kwa yeyote. Tuache tabia ya kukariri tafadhali.

Niishie hapo!
 
Najaribu tu kuwakumbusha wale wenye tabia za kusahau kuwa kwenye hii CCM mpya hakuna aliye maarufu kuliko chama, na lolote lawezekana kwa yeyote. Tuache tabia ya kukariri tafadhali.

Niishie hapo!
John upya wake uko wapi? wa kuvunja sheria? Kupiga watu risasi? mabomu ofisi za mawakili? MKIRU? Azory, Bne, jitafakari , John!
 
Siasa ni karata.
Kadribunavyozichanga vizuri ndo unavyoweza kujiongezea ujiko.

Mh Membe sasa hivinanasikikabsana, kiasi amnacho wengi wanajipotezea muda mrefu kumjadili, ndani na nje ya chama.
Na nd Bashiru anaongoza juhudi hizo ambzo mimi nsona hazina tija.

Rais tunaye mmoja na kikatiba, ni Rais John Pombe Joseph Magufuli.
Na kwa utaratibu wa kistaarabu tu, atakuwa rais hadi 2025.

Hivyo basi ili kuondoa sintofahamu ya malumbano ndsni ya chama, na kukubali kujishusha tabia ile waingereza wanasema ego, Membe amuunge mkono Prez Magufuli, tena hadharani.
Hii itampa amani ya moyo, ndugu Bashiru na kuondoa malumbano ndani ya chama chetu.

Bado kuna 2025, Membe utskuwa na muda mrefu kujitayarisha.
 
mkapa hakumtaka jk 2005 lakini alizidiwa nguvu jk akapita
jk hakuwa hata anamfikiria jiwe 2015 lakni alizidiwa nguvu jiwe likaokota dodo chini ya mronge
jiwe hataweza kumweka mtu anayemtaka
asubiri mziki wa 2020 na uwanja ukiwa sawa moto utawaka kuanzia ndani ya ccm hadi nje
 
Siasa ni karata.
Kadribunavyozichanga vizuri ndo unavyoweza kujiongezea ujiko.

Mh Membe sasa hivinanasikikabsana, kiasi amnacho wengi wanajipotezea muda mrefu kumjadili, ndani na nje ya chama.
Na nd Bashiru anaongoza juhudi hizo ambzo mimi nsona hazina tija.

Rais tunaye mmoja na kikatiba, ni Rais John Pombe Joseph Magufuli.
Na kwa utaratibu wa kistaarabu tu, atakuwa rais hadi 2025.

Hivyo basi ili kuondoa sintofahamu ya malumbano ndsni ya chama, na kukubali kujishusha tabia ile waingereza wanasema ego, Membe amuunge mkono Prez Magufuli, tena hadharani.
Hii itampa amani ya moyo, ndugu Bashiru na kuondoa malumbano ndani ya chama chetu.

Bado kuna 2025, Membe utskuwa na muda mrefu kujitayarisha.
Mimi ninawashangaa sana mnaompa Membe uwezo ambao hana ndani ya CCM.

Membe mbele ya wanaCCM ni kama wale wanaitwa extra kwenye movie!

Ujumbe wa NEC ilibidi familia ya Rais Kikwete na Kikwete wamsaidie kwa ''mbinde'' ili aupate halafu leo hii unadhani anaweza hata kuingia kwenye tano bora za wagombea Urais?
 
Msjaliwa Safi Sana Hana shida kwa Sasa inabidi kuigiza na kwenfa na mlio wa ngoma but majaliwa deserve to be president
Akikamata uraisi itakuwa poa sana jamaa saivi anafuata mdundo wa magufuli naye anaucheza hivyo hivyo japo anaumia sana ila hana jinsi,akiwekwa waziri mkuu 2020 ndo keshakuwa raisi 25.
 
Siasa ni mchezo mchafu na uchafu huu hauishii tu kukamilisha ule usemi wa wanasiasa kwamba Kwenye Siasa hakuna Rafiki/Adui wa Kudumu bali hata kufanya siasa za uongo.

Zitto ndiye Mwanasiasa anayeongoza kwa kutumia vizuri Siasa zake kuwalaghalai Wananchi na hivyo kumpenda.

Siku za hivi Karibuni Zitto ameonekana kusema uongo uongo Mwiiiingi ili mradi tu aonekane ni mwiba kwa Serikali(Kama ingekuwa ile Serikali walioiita legelege bila shaka angefaulu)

Miongoni Mwa Uongo wake ni yale Madai yake kwamba Ndege yetu kubwa eti ilikuwa Mtumba, Kwamba Serikali ilitumia Tr.1.5 bila kuidhinishwa na Bunge, Masuala ya Korosho za Mtwara, Kwamba tumekopa Fedha Urusi kwa ajili ya kununua Mataruma ya Reli wakati yanatengenezwa humu humu nchini yooote Yoote haya ni Mchezo mchafu wa Siasa, hayana ukweli wowote.

Hata hivyo kwasababu Maneno ya Wanasiasa kwa Mtanzania wa Kawaida ni Kama Maandiko ya Kitabu Kitakatifu cha Mungu (Biblia au QURÁN), nadhani atakuwa amejijenga na kukijenga vizuri Chama chake cha ACT-WAZALENDO. Ndiyo Siasa zetu hizo , uongo uongo, ulaghai laghai,, Nyota ikikuwakia unakua Juu.

Kuna mchezo Wapinzani wanaucheza wa Kumfagilia Benard Membe ili ahamie Upinzani. nimeshajiridhisha kwamba Membe atahamia Upinzani na ni ACT-WAZALENDO. Endapo hili litafanikiwa, 2020 ACT-Wazalendo ni Chama Kikuu cha Upinzani.
Hii Mada iwe kama kumbukumbu 2020 tutafanya rejea.

Nawatakia Ijumaa Njema.
 
Kichwa cha habari hakiendani na 90% ya uzi...isipokuwa 10% ya ubuyu hapo mwishoni ambao haujuwekea ushahidi. Mwenzako uliemsema hapo akitoa tuhuma zake huwa anajitahidi kushawishi kwa kuweka ushahidi, ili uaminike zaidi yake wapaswa kuweka nondo konki zaidi yake.
 
Hata hivyo kwasababu Maneno ya Wanasiasa kwa Mtanzania wa Kawaida ni Kama Maandiko ya Kitabu Kitakatifu cha Mungu (Biblia au QURÁN), nadhani atakuwa amejijenga na kukijenga vizuri Chama chake cha ACT-WAZALENDO. Ndiyo Siasa zetu hizo , uongo uongo, ulaghai laghai,, Nyota ikikuwakia unakua Juu.

Kuna mchezo Wapinzani wanaucheza wa Kumfagilia Benard Membe ili ahamie Upinzani. nimeshajiridhisha kwamba Membe atahamia Upinzani na ni ACT-WAZALENDO. Endapo hili litafanikiwa, 2020 ACT-Wazalendo ni Chama Kikuu cha Upinzani.
Hii Mada iwe kama kumbukumbu 2020 tutafanya rejea.

Nawatakia Ijumaa Njema.

Namshauri ahamie CUF na then Colabo 2020
 
Namshauri ahamie CUF na then Colabo 2020

Zitto alijimaliza 2015 kwa kupiga vita vyama vingine vya upinzani! Alitegemea chama cha ACT Wazalendo kingefanikiwa kungua CCM?? ndoto ya alinacha! Upinzani ulishindwa 2015 sasa ni mpaka 2045!
 
Moja, awamu iliyopita hakukuwa na sheria ya takwimu na sheria ya mtandao, kumuacha zitto awe muongo muongo kwa kudanganya Uma kuhusu serikali wakati kukiwa na sheria zinazokataza kuna ibua swali la hoja ya ulegelege wa serikali ya awamu iliyopita. Kwanini zitto anadharau sheria zetu waziwazi?
Mbili, madai yako kuwa maneno ya wanasiasa kuwa ni uwongo uwongo na huo uwongo uwongo ndio unaoaminiwa na watu kama maandiko matakatifu hivyo Zito atafanikiwa kunaibua swali la wanasiasa walipo madarakani sasa maana ndio walioaminika na kupewa nchi. Walitumia mbinu gani kuwa madarakani?watanzania wanaamini uongo uongo kama wa Zito na wanaamini kwa kiwango cha maandiko matakatifu ndivyo ulivyosema, waliopo madarakani ni waongo zaidi ya Zito ndio maana tumewapa nchi? Ndicho unachomaanisha?
Tatu, kuhusu membe kuamia upinzani huo ni utabiri tu kwa kuangalia yanayoendelea unaweza kupatia au kukosea, wadau wa Siasa karibu wote tuna hisia kuwa hili linaweza kutokea. ndo maana na wewe hujasema majaliwa ataamia upinzani umesema membe.
Mwisho wakati unafanya kazi ya kuchafua mpinzani hakikisha serikali unaiacha Safi. Usiwe kama mtu anayepiga deki na maji ya tope.
 
Unaongea vizuri lakini unashinfwa kuleta muunganiko wa ulaghai wa siasa za Zitto na ukinara wa Membe mwaka 2020
 
MbONA CCM MNATAPATAPA, MLIANZA KUMHUSISHA MEMBE NA CHADEMA HADI MKAFIKIA KUFOJI WARAKA KUWA UMETOKA BAVICHA UKIMTAKA MEMBE AWE MGOMBEA. BAADA YA KUONA CHADEMA WAMEWAPUUZA NAONA SASA MMEHAMIA ACT - WAZALENDO
 
Fahari wawili hao hatapikika chungu kimoja

Zitto mipango yake ni kugombea urais, membe hatakubali kwenda chama kisompatia nafasi ya kugombea urais
 
Back
Top Bottom