Siasa ni karata.
Kadribunavyozichanga vizuri ndo unavyoweza kujiongezea ujiko.
Mh Membe sasa hivinanasikikabsana, kiasi amnacho wengi wanajipotezea muda mrefu kumjadili, ndani na nje ya chama.
Na nd Bashiru anaongoza juhudi hizo ambzo mimi nsona hazina tija.
Rais tunaye mmoja na kikatiba, ni Rais John Pombe Joseph Magufuli.
Na kwa utaratibu wa kistaarabu tu, atakuwa rais hadi 2025.
Hivyo basi ili kuondoa sintofahamu ya malumbano ndsni ya chama, na kukubali kujishusha tabia ile waingereza wanasema ego, Membe amuunge mkono Prez Magufuli, tena hadharani.
Hii itampa amani ya moyo, ndugu Bashiru na kuondoa malumbano ndani ya chama chetu.
Bado kuna 2025, Membe utskuwa na muda mrefu kujitayarisha.