Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Hivi katiba ya chama chini ya mwenyekiti huyo huyo haiwezi kumuondoa mwenyekiti???

Ungekuwa pia una muelewa Membe vizuri kindaki ndaki ungeona kuwa membe ni zaidi magu. Missions zake ni za hatari... Viongozi wenyewe wana fahamu... Magu Ana fahamu... Ni mkimya mwenye hatari ndani yake...

Nisimuongee Sana... Subirini kamati kuu ya wana pwani na kusini... Ndipo utajua msukuma Ana nguvu... Au Kama maneno yasemayo msukuma msukume arudi kwao mwanza...

Stay there bro... Usiwe na haraka... Hakuna linalo shindikana chini ya jua...
 
Duh kwa hyo unamaanisha bora ccm iendelee kutawala? Mm nilitegemea ungemuelezea mgombea wa upinzani anayefaa na atayekuea raisi, lakini tunarudia makosa yaleyale ya kutaka ccm iendelee kutawala tena kupitia membe!
Hata Mimi binafsi napenda sana kubadili upepo Wa chama tuone inakuaje ila tatizo hakuna kiongozi upande Wa pili na wala hakuna mwenye nia ya kutaka kuongoza kweli tunajikuta tunarudi upande ule ule.
 
Hayo amefanya nn miaka mitatu... Nenda nkuruma hall 1 Nov.... Jpm ataongoza mjadala... Atasema yote yanayo onekana na yasiyo onekana....
 
Wakimpitisha tu membe mzee magu nae anamwaga mboga kwa kutumia wakurugenzi na polisi wake afu nchi ileee kwa upinzani. Kumbuka hata magu akikatwa kwenye kura za maoni ataendelea kuwa kitini kipindi cha uchaguzi mkuu hadi rais atakayechaguliwa aapishwe
 
Hayo amefanya nn miaka mitatu... Nenda nkuruma hall 1 Nov.... Jpm ataongoza mjadala... Atasema yote yanayo onekana na yasiyo onekana....
 
Hata Mimi binafsi napenda sana kubadili upepo Wa chama tuone inakuaje ila tatizo hakuna kiongozi upande Wa pili na wala hakuna mwenye nia ya kutaka kuongoza kweli tunajikuta tunarudi upande ule ule.
Viongozi wapo, tatizo ni sisi wananchi! Upinzan ukiona wengi mnaegemea ccm unafikiri wao watafanya nn? Hebu ona, pamoja na mapungufu yote ya ccm lakini bado watu wanataka ccm iendelee kutawala na kumpigia promo kubwa membe! Kwa nn asiwe lowassa, au lissu, au zitto?? Kwa nn membe?
 
Ndio maana ccm itatawala milele. Kama upinzani wenyewe ndio huu tena uko bize humu eti ccm iendelee kutawala kupitia Membe. Nasikitika nasoma comments kisha naona watu ambao nilidhani wako ktk mapambano ya kuitoa ccm madarakani eti wanasapoti huu ujinga.
Bloody fucking, mnaboa sana washenzi nyie.
 
Nasikitika sana kwa hili. Yaani mijitu iko serious kabisa eti Membe na ccm.
 
Upinzani hamna Tanzania, Amini usiamini watu wengi sana wanapenda upinzani ila upinzani hautupendi ,labda niseme hivo tu!
 
Rais Magufuli hata kura za Maoni hawezi kutoboa kama ngoma itasimama kwa haki na usawa! Na pia kuna watu wengi mtaani wanamsema vibaya sana Magufuli. Na ndiyo maana wakati mwingine kujiandaa kuingia kwenye siasa za Kidikteta Nchini au CCM ikubali kubadilisha utaratibu wake wa kihafidhina ili Chama kimtose kabisa Uchaguzi mkuu 2020. We don't need Rais Magufuli anymore.
 
Mnazan mabadiliko aliyoyafanya na anayoendelea kuyafanya yatamruhusu membe hata kuchukua fomu?.... MARK MY WORD MAGUFULI KWA UBABE ATAPITA BILA KUPINGWA NDANI YA CCM,, HAKUNA MWANA CMM ATAKAE CHUKUA FORM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…