Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hakika ni tumaini jipya kwa watanzania anapaswa kuungwa mkono na kila mpenda maendeleo hii ni kutokana na ukweli kwamba ni mtu mwenye mtazamo wa kimataifa na mwenye uwezo wa kurudisha heshima ya nchi yetu kidiplomasia.
 
Nimeipenda vita hii sasa wale wajinga wa ccm wanaohangaika na uenyekiti wa Mbowe katika Chadema wakati sio chama chao huku wenye chama wenyewe hawana shida watarudi kuzima au kuchochea moto kwenye chama chao. Hii vita ni tamu sana
 
Dah.... Safi sana...GT...[emoji41]
 
Hata Lowasa alitajwa sana na hata kuimbwa kwenye kikao ila wakafyekelea mbali. Binafsi sioni kama yeye ana ubora wowote kumzidi aliyepo madarakani.
 
Hakika ni tumaini jipya kwa watanzania anapaswa kuungwa mkono na kila mpenda maendeleo hii ni kutokana na ukweli kwamba ni mtu mwenye mtazamo wa kimataifa na mwenye uwezo wa kurudisha heshima ya nchi yetu kidiplomasia.
Huyo jamaa sijawahi mkubali kuwa kiongozi wa nchi hata siku moja....nafikiri amekuwa over_rated mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…