Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,203
- 37,906
Halafu hawataki kusema kuna nn?Aisee", membe amewapa nini !!? mbona wingu la threads zake limezidi humu ""!!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu hawataki kusema kuna nn?Aisee", membe amewapa nini !!? mbona wingu la threads zake limezidi humu ""!!?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aaahh kwa haraka haraka utagundua Vijana wa Lumumba upande wa Jiwe ndo hawahawa walofungua nyuzi zakujifanya wanampenda Membe ,ili mradi tu kujaribu kupenyezesha mpango wa membe alonao.
Hapo ndo tunarudi kulee ,jiwe alipopiga marufuku wanachama kuanza kuanza kupiga kampeni zao mapema.
Kwa ufupi..ukiwa na akili ya kawaida, utaona km ni Wafuasi wa membe...lkn kihalisia ni wafuasi wa JIWE ..namwisho Membe atajitoa mwenyewe..
Kimkakati, na Membe ni Mwanasiasa Nguli na mzito WALA HAWEZI KAA AANZISHE VIJIKAMPENI VYA KIPUUZI NAVYOVIONA HUMU .
Hata ivo Rais Ajaye ni Tundu Lissu .
Why hawataki kusema kuna nnSio humu tuu mpaka kwenye magroup ya whattsapp
[emoji23][emoji23][emoji23]KWA SISI TUSIOWEZA KUFAIDIMATUNDA YA NCHI YETU YOYOTE SAWA, TUMESHUHUDIA ALHAJI DAB AKISAMEHEWA BILIONI HUKU SISIKUAGIZA TU IST USHURU UKICHELEWA KULIPA MZIGOUNAPIGWA MNADA
Hivi nani anafanya hivyo?Kama hatotoweka/kutekwa kabla ya 2020 Mungu atakuwa anampenda sana
Dah.... Safi sana...GT...[emoji41]Unajua kunajamaa anasura kama yako huko kijijini kwao Lufindo mkoa wa geita baada kupibwa X-ray ya kichwa madokta walipigwa na butwaa sana baada kugundua jamaa hana Ubongo mbaka leo anaishi na ni memba wa JF anajiita Roho mbaya sijui ana maana gani nadhadha ana maana rohonzuri,ila wale madokta wanastahili pongezi baada kuukosa ubongo wakashindilia ugali wa uwele.
IQ yako naona inaishia chooni.maana unapenda kupataja kweli.hili jamvi ni kw great thinkers.Usijali Rais tunaye. Na ndiye Mwenyekiti wa chama. Vikao vitakavyompitisha Membe mtafanyia chooni.
Mende kwake chooni, IQ ni jela ya ukoloni ya watu wajinga kama wewe.IQ yako naona inaishia chooni.maana unapenda kupataja kweli.hili jamvi ni kw great thinkers.
Hata Lowasa alitajwa sana na hata kuimbwa kwenye kikao ila wakafyekelea mbali. Binafsi sioni kama yeye ana ubora wowote kumzidi aliyepo madarakani.Naomba niwaambieni kwa wale wambao mnafikiri ndani ya CCM hapawezi kua na mabadiliko yeyote ni kujidanganya kwa ssbabu ya mazoea ya nyuma, kwa vijana mliokua juzi yawezekana hamjui kitu ndio maana mnajipa matumaini kwa msilolijua. Hamuelewi na hamwezi kujua.
Siasa sio ubabe wala vitisho bali ni ufundi wa mtu kulingana na utashi wake. Ndani ya CCM kuna wanachama wenye kadi na katiba ya chama, wameisoma katiba na wanaelewa yaliyomo ndani yake na yanayoendelea hivi sasa. Ili kuepusha mgogoro ndani ya CCM ya sasa ni bora watu waachwe wateme nyongo zao kiliko kutumia mabavu na kukaa na mambo nyoni.
Kwa msiojua ni kwamba haya ya utawala huu wa sasa ni kwa sababu ya siasa za Bernard Membe ndani ya CCM, anajua ni wapi alijisahau na aliteleza na sasa anajiweka sawa asirudie makosa. Katiba ya chama inamruhusu kufanya hivyo, hayo mengine ya mwenyekiti wa sasa kurudi kugombea tena ni taratibu ilizo nje ya katiba na sio lazima.Waliofikiri asingeweza sasa wameina ni bora ngekua yeye kuliko tulikofikia.
Vijana wenzagu mkae mkitafakari kua Bernard Membe haya mawazo ya kutaka kua kiongozi wa taifa hili 2020 sio yake peke yake,atakua ameshauriwa na wazalendo wakongwe ambao tayari hawaridhishwi na upepo wa siasa za sasa. Mtu wa aina hii kutajwa sana sio kitu kidogo, kutakua na msukumo Mkubwa sana tena wa watu wanaojua ni wapi tupo hivi sasa.
Huyo jamaa sijawahi mkubali kuwa kiongozi wa nchi hata siku moja....nafikiri amekuwa over_rated mnoHakika ni tumaini jipya kwa watanzania anapaswa kuungwa mkono na kila mpenda maendeleo hii ni kutokana na ukweli kwamba ni mtu mwenye mtazamo wa kimataifa na mwenye uwezo wa kurudisha heshima ya nchi yetu kidiplomasia.