Wameanza kufarakana baada ya kuwafarakanisha wenzao.Kiufupi nafarijika MaCCM yanapovurugana.
...kama tumaini lenu ni kwa huyu jamaa basi mmepoteza mno mkuuMod tunaomba mada moja sticky juu ya Jemedari Cammilius!,Wananchi tuna tumaini jipya kupitia huyu nguli
umeona jina membe tu umewashwawashwa. Tulia hii game haiitji hasira.Mende kwake chooni, IQ ni jela ya ukoloni ya watu wajinga kama wewe.
Amekuwa overrated kivipi? Kwani nafasi alizotumikia hakuzitendea haki?Huyo jamaa sijawahi mkubali kuwa kiongozi wa nchi hata siku moja....nafikiri amekuwa over_rated mno
Baada ya Jana na Leo kufululiza thread za hiki kichwa adimu, aghalabu nyoyo za wadanganyika zimepata faraja, pengine faraja na neema tulizoziishi enzi za baba Ritz zinatarejea.
1. Mmefanana hulka
2. Umakini
3. Upole na kusikiliza maoni ya watu
4. Ubobezi wa kidiplomasia
5. Halafu wote mlianzia mambo ya nje
6. Marafaki wa mataifa
7. Very smart katika maamuzi
Twende na Membe 2020
Utakula udikteta! “Mwerevu”Utakula diplomasia? Pumbavu
Hata Membe mwenyewe akiiona hii thread atashangaa ulikoyatoa haya! Anyway, kwa sisi tuliomo humu JF muda mrefu, hatushangazwi na hiziNaomba niwaambieni kwa wale wambao mnafikiri ndani ya CCM hapawezi kua na mabadiliko yeyote ni kujidanganya kwa ssbabu ya mazoea ya nyuma, kwa vijana mliokua juzi yawezekana hamjui kitu ndio maana mnajipa matumaini kwa msilolijua. Hamuelewi na hamwezi kujua.
Siasa sio ubabe wala vitisho bali ni ufundi wa mtu kulingana na utashi wake. Ndani ya CCM kuna wanachama wenye kadi na katiba ya chama, wameisoma katiba na wanaelewa yaliyomo ndani yake na yanayoendelea hivi sasa. Ili kuepusha mgogoro ndani ya CCM ya sasa ni bora watu waachwe wateme nyongo zao kiliko kutumia mabavu na kukaa na mambo nyoni.
Kwa msiojua ni kwamba haya ya utawala huu wa sasa ni kwa sababu ya siasa za Bernard Membe ndani ya CCM, anajua ni wapi alijisahau na aliteleza na sasa anajiweka sawa asirudie makosa. Katiba ya chama inamruhusu kufanya hivyo, hayo mengine ya mwenyekiti wa sasa kurudi kugombea tena ni taratibu ilizo nje ya katiba na sio lazima.Waliofikiri asingeweza sasa wameina ni bora ngekua yeye kuliko tulikofikia.
Vijana wenzagu mkae mkitafakari kua Bernard Membe haya mawazo ya kutaka kua kiongozi wa taifa hili 2020 sio yake peke yake,atakua ameshauriwa na wazalendo wakongwe ambao tayari hawaridhishwi na upepo wa siasa za sasa. Mtu wa aina hii kutajwa sana sio kitu kidogo, kutakua na msukumo Mkubwa sana tena wa watu wanaojua ni wapi tupo hivi sasa.
Hata Membe mwenyewe akiiona hii thread atashangaa ulikoyatoa haya. Anyway, kwa sisi tuliomo humu JF muda mrefu, hatushangazwi na hizi "White Elephant Inventions" zenu.Mwaka2000 mlisema humu humu kuwa Mkapa atatolewa. Haikuwa!Naomba niwaambieni kwa wale wambao mnafikiri ndani ya CCM hapawezi kua na mabadiliko yeyote ni kujidanganya kwa ssbabu ya mazoea ya nyuma, kwa vijana mliokua juzi yawezekana hamjui kitu ndio maana mnajipa matumaini kwa msilolijua. Hamuelewi na hamwezi kujua.
Siasa sio ubabe wala vitisho bali ni ufundi wa mtu kulingana na utashi wake. Ndani ya CCM kuna wanachama wenye kadi na katiba ya chama, wameisoma katiba na wanaelewa yaliyomo ndani yake na yanayoendelea hivi sasa. Ili kuepusha mgogoro ndani ya CCM ya sasa ni bora watu waachwe wateme nyongo zao kiliko kutumia mabavu na kukaa na mambo nyoni.
Kwa msiojua ni kwamba haya ya utawala huu wa sasa ni kwa sababu ya siasa za Bernard Membe ndani ya CCM, anajua ni wapi alijisahau na aliteleza na sasa anajiweka sawa asirudie makosa. Katiba ya chama inamruhusu kufanya hivyo, hayo mengine ya mwenyekiti wa sasa kurudi kugombea tena ni taratibu ilizo nje ya katiba na sio lazima.Waliofikiri asingeweza sasa wameina ni bora ngekua yeye kuliko tulikofikia.
Vijana wenzagu mkae mkitafakari kua Bernard Membe haya mawazo ya kutaka kua kiongozi wa taifa hili 2020 sio yake peke yake,atakua ameshauriwa na wazalendo wakongwe ambao tayari hawaridhishwi na upepo wa siasa za sasa. Mtu wa aina hii kutajwa sana sio kitu kidogo, kutakua na msukumo Mkubwa sana tena wa watu wanaojua ni wapi tupo hivi sasa.
Wewe ndio unaleta hasira hili game kwangu la kitoto. Unajificha kwenye ujinga IQ hata unajifanya great thinker wakati ni mpuuzi kama mchuzi.umeona jina membe tu umewashwawashwa. Tulia hii game haiitji hasira.
...kwa hiyo wewe na akili zako kabisa unaamini Membe anaweza kuwa rais wa nchi hii mzuri ?!!.....hizo nafasi alizobebwabebwa ndio kipimo mnachompimia..?Amekuwa overrated kivipi? Kwani nafasi alizotumikia hakuzitendea haki?
Baada ya Jana na Leo kufululiza thread za hiki kichwa adimu, aghalabu nyoyo za wadanganyika zimepata faraja, pengine faraja na neema tulizoziishi enzi za baba Ritz zinatarejea.
1. Mmefanana hulka
2. Umakini
3. Upole na kusikiliza maoni ya watu
4. Ubobezi wa kidiplomasia
5. Halafu wote mlianzia mambo ya nje
6. Marafaki wa mataifa
7. Very smart katika maamuzi
Twende na Membe 2020
Mkuu Korosho ndiyo imeiua haya yote! Yamkini kuna kitu kweli kafanya nyuma ya paziaSawa tumezpokea
Japo sielewi hii morale ya kumsifia Membe kwa kasi huku mitandaoni mnaitoa wapi, naamini sio bure kuna cha ziada