Sasa mkuu badala ya kujibu swali nilokuuliza, ambalo pengine huna jibu lake ndiyo maana umekimbilia kwenye personalities again....kwa hiyo wewe na akili zako kabisa unaamini Membe anaweza kuwa rais wa nchi hii mzuri ?!!.....hizo nafasi alizobebwabebwa ndio kipimo mnachompimia..?
....hamko serious kabisa
hafai Mkuu....poleni aliye watuma. mumzoee jiwe tu.Kwanini hafai?
Watu mnamasihara sana aisee!Baada ya Jana na Leo kufululiza thread za hiki kichwa adimu, aghalabu nyoyo za wadanganyika zimepata faraja, pengine faraja na neema tulizoziishi enzi za baba Ritz zinatarejea.
1. Mmefanana hulka
2. Umakini
3. Upole na kusikiliza maoni ya watu
4. Ubobezi wa kidiplomasia
5. Halafu wote mlianzia mambo ya nje
6. Marafaki wa mataifa
7. Very smart katika maamuzi
Twende na Membe 2020
MEMBE= PRESIDENTIAL MATERIAL.Hivyo unataka kusema Membe kamzidi Mtukufu Raisi ???
Atagombea kupitia chama gani? Maana kwa CCM wana utaratibu wa kumwachia Rais aliyepo madarakani, labda kama utaratibu utabadilishwa. Membe asijitafutie mabalaa.
Ni kitu gani huyu wa sasa alimchomzidi nacho Membe kwa maoni yako?...kama tumaini lenu ni kwa huyu jamaa basi mmepoteza mno mkuu
MEMBE= PRESIDENTIAL MATERIAL.Ndoto za mchana kweupe
When you see a toad jumping on the ground in daylight, something is behind it.Habari wana jamvi.. Leo nimekutana na nguli wa diplomasia katika Mishe mishe za hapa na pale, nikapata walau lisaa La kupiga nae story.
Kasema amewamiss sana Watanzania. Amewakumbuka sana hivi karibuni na pia anawatakia jumapili njema.
Nawasilisha.
Umeshindwa kujibu swali unakimbilia kutoa pole kweli ushamba mzigo basi asante.hafai Mkuu....poleni aliye watuma. mumzoee jiwe tu.
Wewe ni kondoo.Wewe ndio unaleta hasira hili game kwangu la kitoto. Unajificha kwenye ujinga IQ hata unajifanya great thinker wakati ni mpuuzi kama mchuzi.
Mi nitaungana na Wewe kumsambaratisha .Hivi hizi Hela / Pesa ambazo Membe na Kikundi chake cha ' Propaganda ' anazowapeni hadi tokea juzi, jana na leo naona kila mara mnafurika tu hapa Kumuanzishia ' Threads ' kwanini asizikusanye zote na awarudishie Familia ya Hayati Rais wa Libya Muamar Gadhaffi? Mwambieni kabisa kwamba ile ' laana ' ya yule Balozi wa Libya nchini Tanzania aliyefia Ubalozini haitomuacha salama na ni bora aanze ' Kutubu ' kama siyo ' Kuungama ' mapema. Hata afanye vipi na aende wapi Bernard Camilius Membe hawezi na hana uwezo wa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na ikitokea akawa basi kwa mara ya Kwanza Tanzania jiandaeni kushuhudia Kundi la Waasi litakaloongozwa na ' Shadow General ' au ' Warlord ' aitwae GENTAMYCINE na nina uhakika ' Utawala ' wake hautokaa / hautodumu / hautochukua muda mrefu na hatimaye sasa Watanzania wote mtakuwa chini ya Uongozi wa muda wa GENTAMYCINE ambapo nitaitisha Uchaguzi mpya na halali na Mshindi ambaye nitaona anafaa Kuwaongozeni Watanzania nitamkabidhi nchi na Mimi kurejea zangu Kutiririka na Kuserereka hapa Jamvini JamiiForums kama kawaida.
Ipo kwenye katiba yao?Atagombea kupitia chama gani? Maana kwa CCM wana utaratibu wa kumwachia Rais aliyepo madarakani, labda kama utaratibu utabadilishwa. Membe asijitafutie mabalaa.
1.5T imepigwa kirahisiHiyo hiyo ccm, utaratibu utabadilika. Kama uko kwenye nafasi jitahidi na ww ile 1.5t ikufikue kabla hamjawekwa pembeni.
Mimi ni kichuguu. Jiwe kuu walilolikataa waashi ndio jiwe kuu la Pembeni.Wewe ni kondoo.
MEMBE= PRESIDENTIAL MATERIAL.Hivi hizi Hela / Pesa ambazo Membe na Kikundi chake cha ' Propaganda ' anazowapeni hadi tokea juzi, jana na leo naona kila mara mnafurika tu hapa Kumuanzishia ' Threads ' kwanini asizikusanye zote na awarudishie Familia ya Hayati Rais wa Libya Muamar Gadhaffi? Mwambieni kabisa kwamba ile ' laana ' ya yule Balozi wa Libya nchini Tanzania aliyefia Ubalozini haitomuacha salama na ni bora aanze ' Kutubu ' kama siyo ' Kuungama ' mapema. Hata afanye vipi na aende wapi Bernard Camilius Membe hawezi na hana uwezo wa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na ikitokea akawa basi kwa mara ya Kwanza Tanzania jiandaeni kushuhudia Kundi la Waasi litakaloongozwa na ' Shadow General ' au ' Warlord ' aitwae GENTAMYCINE na nina uhakika ' Utawala ' wake hautokaa / hautodumu / hautochukua muda mrefu na hatimaye sasa Watanzania wote mtakuwa chini ya Uongozi wa muda wa GENTAMYCINE ambapo nitaitisha Uchaguzi mpya na halali na Mshindi ambaye nitaona anafaa Kuwaongozeni Watanzania nitamkabidhi nchi na Mimi kurejea zangu Kutiririka na Kuserereka hapa Jamvini JamiiForums kama kawaida.
Ngoja tuone Jasusi akitekwa.Kama hatotoweka/kutekwa kabla ya 2020 Mungu atakuwa anampenda sana
Nimeipenda hiyo hashtagMembe ndie Rais 2020,
Inyeshe mvua, liwake Jua,
#JiweMustGo