Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Niliwahi kusalimiana nae pale Nkrumah siku moja,alionekana ni mtu mwenye utashi,unyenyekevu na mwenye kujali watu wa rika na hali zote.Hakika Membe ni tumaini lijalo baada ya huyu wa sasa.
 
mwambie ujuaji wake ndio ulimponza 2015.... nafasi ilikua yake akajitia kimbele front so apambane na hali yake aache kutuchafulia jf yetu kwa propaganda zake
 
Siku nyingine uchukue naye video tuone akitupa salamu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] dah
 
Hata Mimi natamani Membe awe rais hata Leo.
Kifupi huyu rais kashakosa mvuto, wala hana hamasa.

Kila siku anarudia yaleyale, hana hata ubunifu.

Mda mchache tu ila watu wameshamchoka, vipi ndo aendelee miaka saba zaidi? Nafkiri watu watakuwa hata hawamsikilizi tena.

Bora hata Membe awe rais angalau nayeye tuone alivyojiandaa.

Maisha kila siku yanazidi kuwa magumu, maskini ndo wamezidisha umaskini, hakuna hata dalili za uafadhali.

Jaman na Mimi namuunga mkono Membe.
 
Mbona umesahau CCM? Ulipaswa uandike hata wewe ,,Membe + CCM jamani“ !
 
Kwa yanayoendelea sasa bora kupata dereva mwingine kwa hali yoyote ile. Tutamuunga mkono.
 
mtoe mzee mwanakijiji hapo afu Barbarossa ni vuguvugu linapoluja swala la membo usimtegemee sana. hapo waweke kbst ifrs misuli misasa n.k
Huyo barbarossa na mwanakijiji wote ni wachumia tumbo wenzetu huku CCM.....tunaenda na upepo kwa sasa tupo na Membe.
 
Naona Membe ana muovertake Jiwe, ila jiwe alivyo na roho mbaya sasa hivi atamfanya alichomfanya Lisu, au Moooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…