View attachment 913562
Kila niionapo hii picha huwa nafarijika sana huku nikiwaza siku yake ya kuapishwa pale uwanja wa Taifa akinamama akina baba wenye mapenzi ya kweli na nchi yetu watakavyozimia kwa furaha.
Nafasi ya urais ndani ya ccm inapigiwa kura za maoni?Upinzani yes unaweza bt wataiba kura so bora dereva mwingine tu wakijani ila hyu aliepo Mungu na atuepushie mbali.
wata mtetea vipi wakati wao wenyew wamesha gawanyika makundi"... mbaya zaidi waliopo upande wake ana wafanya mbuzi wa kafaraDuuh.....kwani jiwe amefanya nini? Mbona nyumbu wa buku saba saba siwaoni kumtetea.
hahaa .. tena wana lalamika sana" kama vile wamezurumiwa maiti mochwaribuku saba wamemchoka teuzi wanapewa wahamiaji.
Teh teh eti Akili sinaAkili huna ndiyo maana
Kwa utaratibu wa sasa ajijue hayuko salamaNi malaika mwema ameniagiza. Nawaomba wazee wa CCM walione hili na kulitafakari kwa kina.
Acha uongo jpm hakuwahi kuwa kwenye intelligence circlesHakuna kama Magu wote mnajua, Kamuulize Mzee Kitine atakuambia, mengine humu sio mahali pake.
Acha wafu wazikane ila sina imani na CCM mtu alijiita malaika na anazidi kufanya madudu
usiniambie mara hii mmemgeuka Jiwe " amekuwa hafai tena '.... !!! bila shaka katika vitu ambavyo vimeibua hili fukuto ni baada ya suala la kutekwa kwa Mo kujiri .. jiwe alifanya mistake kubwa sana katika hili na halito muacha salama lazima litamtafuna tu " though hata kama atashinda uchaguzi ujao ", lakini hatokuwa na makali ya makucha tena kama haya aliyonayo sasa "..Sisi wanaCCM kindakindaki wote tukiongozwa na Lizaboni jingalao Magonjwa Mtambuka Barbarosa MTAZAMO Mzee Mwanakijiji TUNAMTAKA MEMBE AWE RAIS WA TANZANIA KABLA YA 2020.