...huo u_best wa Membe over Magufuri ni UPI mkuu...just curious to know !(Idiotism at work,you just think about your loaf and not your future), Membe is the best president ever compared to Jiwe
Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
....hata hujielewi mkuu...of all the people umemuona Member kweli ?!!You're really shit hole, huyu mliyenaye ana nini zaidi ya kuangamiza Taifa?
Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
...hata huko hafai kabisa mkuu...huyo Membe ni mweupe mno upstairsWatu wanajitekenya na kucheka wenyewe. Membe labda akawe rais wa FM academia au TFF come 2020.
Alifisidi nini please tupasheMembe ndo jibu toshaa
Ina maana anamzidi hata Balozi Mahiga?Hakika ni tumaini jipya kwa watanzania anapaswa kuungwa mkono na kila mpenda maendeleo hii ni kutokana na ukweli kwamba ni mtu mwenye mtazamo wa kimataifa na mwenye uwezo wa kurudisha heshima ya nchi yetu kidiplomasia.
IQ yako naona inaishia chooni.maana unapenda kupataja kweli.hili jamvi ni kw great thinkers.
Alirudisha lini hela ya marehemu Ghaddafi?Baada ya Jana na Leo kufululiza thread za hiki kichwa adimu, aghalabu nyoyo za wadanganyika zimepata faraja, pengine faraja na neema tulizoziishi enzi za baba Ritz zinatarejea.
1. Mmefanana hulka
2. Umakini
3. Upole na kusikiliza maoni ya watu
4. Ubobezi wa kidiplomasia
5. Halafu wote mlianzia mambo ya nje
6. Marafaki wa mataifa
7. Very smart katika maamuzi
Twende na Membe 2020
Hata kwa akili za kuazima tu mkuu,unamwona Magufuli anafaa kabisa kutuvusha?...huo u_best wa Membe over Magufuri ni UPI mkuu...just curious to know !
Nyerere hakuokotwa alipita shule na kusoma mambo mazuri ya kuendesha nchi sasa huyu President stone ambaye ni kama tikikiti maji, nje ukiona kijani ndani jekundu hatufai kwakweli ingawa ana maneno matamu sana.Jasusi mbobezi na mwanadiplomasia aliyetukuka rais ajaye kabla 2020 ndugu Bernard Kamillus Membe kama angekuwa leo rais Swala la kuuwawa Khashoggi angeingilia kati na kutuliza mambo kwa njia ya upatanishi na diplomasia.
Akiwa waziri wa mambo ya nje awamu ya 4 Membe aliweza kuiweka karibu sana Tanzania na mataifa ya uturuki na Saudi Arabia.
Pia Membe angekuwa rais angeenda mbali zaidi kwa kuwaleta karibu Saudi Arabia na Qatar kwa kuwafanya ku "extend an olive branch" katika mustakabali mzima wa mashariki ya kati.
Chini ni picha rais Membe akimwaga balozi wa Saudi Arabia ndugu Hani Abdullah alipokuwa waziri wa mambo ya nje awamu ya 4
View attachment 914182