GUSSIE
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 3,880
- 11,134
Siasa ni Science, Kwa science hii inayotumika Sasa nimeweka mikono chini
Kinachonishangaza watu wameweka uvyama pembeni humu wakimtaka Mzee wa International Relations akamate nchi
Kuna mambo yanaendelea lakini mpaka Sasa hatuna taarifa, Wengine kwanza ndio weekend, Perhaps from Monday watu tukifika kwenye mafaili tutapata hints
Huu muunganiko wa Chadema na ccm plus wasio na vyama umeanza lini hapa JF