A very limpy handy shake from the so called the prezzo wa 2020.Jasusi mbobezi na mwanadiplomasia aliyetukuka rais ajaye kabla 2020 ndugu Bernard Kamillus Membe kama angekuwa leo rais Swala la kuuwawa Khashoggi angeingilia kati na kutuliza mambo kwa njia ya upatanishi na diplomasia.
Akiwa waziri wa mambo ya nje awamu ya 4 Membe aliweza kuiweka karibu sana Tanzania na mataifa ya uturuki na Saudi Arabia.
Pia Membe angekuwa rais angeenda mbali zaidi kwa kuwaleta karibu Saudi Arabia na Qatar kwa kuwafanya ku "extend an olive branch" katika mustakabali mzima wa mashariki ya kati.
Chini ni picha Rais Membe akimwaga balozi wa Saudi Arabia aliyemaliza muda wake ndugu Hani Abdullah alipokuwa waziri wa mambo ya nje awamu ya 4
View attachment 914182
Hata Mimi najiuliza mnoMembe ametrend sana hii weekend, kulikoni
Membe sikiliza kilio chetu tunakuhitaji baba kaa mkao wa kula 2020.
Mmmmh!! Hizi habari kaanzisha nani jamani?Bernard Kamilius Membe akifanya mazoezi makali sana ya kukimbia. Nikawaida yake kujiweka fiti kimwili na kiakili kwa kula kiafya na kufanya mazoezi hili awatumikie watanzania walioshakata tamaa kwa itawala mbovu wenye choyo ufusidi na wakuwagawanya wananchi kwa matabaka.
View attachment 914322
Yaani watu wamesahau Kila kitu wameungananisha nguvu kwa MembeMembe sikiliza kilio chetu tunakuhitaji baba kaa mkao wa kula 2020.
Ningekuwa CCM ndani ya chama lazima tufanye kura ya maoni tena,maana kichaa alibebwa na jahcarhire,na uhakika ccm wakifanya sawia kwenye kura za maoni JIWE hapiti labda atumie UBABE kama anaotumia sasa kwa kuwapitisha "WATUMWA" kugombea tena kupitia sisiemu baada ya kununuliwa na kuacha uongozi walipotoka UPINZANI.Kichaa akiingia ulingoni na Membe anatolewa asubuhi na mapema
Mkuu eti Membe huyu si ni ukoo ule ule wa majizi ya nchi hii?Watz ndo walivyo, hadi wazungu wanawambia wanatawaliwa na dikteta lkn hakuna anayetoka barabarani kumng'oa
Nimecheka Sana hii combination ya Chadema na ccm haijawahi tokea kweli Membe for presidence
Nini kimetokea kwa elimu yangu hapa nimetoka kapa kabisa labda ikifika kesho Jtatu nitajua maana Leo Jpili
Kweli siasa ya science Huu upendo na kupendana kwa ccm na Chadema nini kimetokea?
Sawa mzoga wa ufipa.Vumilia tu msukule wa Lumumba
upepo tuHata Mimi najiuliza mno
Ningekuwa CCM ndani ya chama lazima tufanye kura ya maoni tena,maana kichaa alibebwa na jahcarhire,na uhakika ccm wakifanya sawia kwenye kura za maoni JIWE hapiti labda atumie UBABE kama anaotumia sasa kwa kuwapitisha "WATUMWA" kugombea tena kupitia sisiemu baada ya kununuliwa na kuacha uongozi walipotoka UPINZANI.
Membe tuko chini ya miguu yako. Tumeamua kupaza sauti nakukupigia debe bila hata wewe kututuma. Tumechoka tusaidie meanadiplomasia wetu uliyetukuka. Toka na utamke neno vijana tuko nyuma yako.
Tusaidie Membe. Saidia taifa letu ni wewe tuuu
Haina haja ya kungoja muda mambo yako hadharani nani wa kumkoromea Jpm ndani ya ccm wote ni mbwa tu mbele ya chatu tunaona wakubwa wanapishana ikulu kwenda kumpigia magoti asitibue zaidi hata waliomuweka madarakani wanaufyatamuda utasema
Hao wanacheza tu kwani.leo hii wameshamkana Lissu wanaona hafaiNimecheka Sana hii combination ya Chadema na ccm haijawahi tokea kweli Membe for presidence
Nini kimetokea kwa elimu yangu hapa nimetoka kapa kabisa labda ikifika kesho Jtatu nitajua maana Leo Jpili
Kweli siasa ya science Huu upendo na kupendana kwa ccm na Chadema nini kimetokea?