Mzaha Mzaha hutumbua usaha, Hii move inapoendaMembe sikiliza kilio chetu tunakuhitaji baba kaa mkao wa kula 2020.
yaani wanachekesha kweli, Membe amvimbie Magu wapi na wapiHaina haja ya kungoja muda mambo yako hadharani nani wa kumkoromea Jpm ndani ya ccm wote ni mbwa tu mbele ya chatu tunaona wakubwa wanapishana ikulu kwenda kumpigia magoti asitibue zaidi hata waliomuweka madarakani wanaufyata
Hapa lile "JIWE KUU" lazima lipondwe kokotoBernard Membe, sikia kilio toka kwetu,
Ni sisi vijana tusio na ajira na tuoiokosa matumaini,
Ni sisi Wafanyabiashara tuliokatika mazingira magumu na unyanyasaji toka kwa mamlaka za serikali,
Ni sisi Wana CCM tuliokosa imani na Mwenyekiti wa sasa,
Ni sisi Wanafunzi tuliokosa mikopo,
Ni sisi Wakulima wa korosho, tusiojua korosho zetu tuzipeleke wapi,
Ni sisi Wavuvi tunao nyanyaswaa kila kukichaa,
Ni sisi waandishi wa habari tunaonyanyaswa na kuteswa kutokana na kuandika ukweli,
Ni sisi wazazi tuliopoteza vijana wetu kwa kupotezwa na wasiojulikana,
Tunaomba Mh Membe, usikike kilio chetu Watanzania tuliokosa Matumaini katika Nchi yetu. Tinajua tunakupa mzigo mkubwa na kukuweka katika mazingira hatari.
Lakini kwakua Watanzania tunakuhitaji, hunabudi kubeba mzigo huu uutuee.
Tuna amini kwa busara na uelewa wa nyanja za kimataifa, Nchi yetu itakuwa salama mikononi mwako.
#MembeForPresidence2020
#JiweMustGo
Hii sudden interest kwa Membe siielewi mpaka sasa.
Kwani sasa hivi haruhusiwi kufanya mazoezi ?
Mtume mshamba wako akawakamate yeye si ndo amiri jeshi?Mkuu eti Membe huyu si ni ukoo ule ule wa majizi ya nchi hii?
Alishafanya mwaka 2014.Kwani sasa hivi haruhusiwi kufanya mazoezi ?
Mtu ambaye hana woga na Jpm ni makonda tu ambaye ni mtoto mtiifu ila hawa wengine ni mijusi tu eti adinde mbele ya aliyeshika nchiyaani wanachekesha kweli, Membe amvimbie Magu wapi na wapi
Na utapita tu huu upepoupepo tu
Mshamba wake na nani aliyekwambia nyani aliwahi mhukumu ngedere kwa kesi ya wizi wa mahindi nani?Mtume mshamba wako akawakamate yeye si ndo amiri jeshi?
hata penati aliyokosa samatta angekua membe angefunga goli zuri la kimataifa huyu jamaa kila sehemu anaweza.
Tuko tayari kushirikiana na mtu yeyote atakayerahisisha ccm kung'olewa na hasa kabla ya 2020 , korosho oyeeee !!!hata mie nashangaa,na Mamods watakuwa wamepewa chao maana leo karibia nyuzi zote ni Membe tu
KabisaWanamjaza upepo tu kama walivyomwaminisha Lowassa kuwa atakuwa rais matokeo kila mtu anajua