Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Haina haja ya kungoja muda mambo yako hadharani nani wa kumkoromea Jpm ndani ya ccm wote ni mbwa tu mbele ya chatu tunaona wakubwa wanapishana ikulu kwenda kumpigia magoti asitibue zaidi hata waliomuweka madarakani wanaufyata
yaani wanachekesha kweli, Membe amvimbie Magu wapi na wapi
 
Bernard Membe, sikia kilio toka kwetu,
Ni sisi vijana tusio na ajira na tuoiokosa matumaini,

Ni sisi Wafanyabiashara tuliokatika mazingira magumu na unyanyasaji toka kwa mamlaka za serikali,

Ni sisi Wana CCM tuliokosa imani na Mwenyekiti wa sasa,

Ni sisi Wanafunzi tuliokosa mikopo,


Ni sisi Wakulima wa korosho, tusiojua korosho zetu tuzipeleke wapi,

Ni sisi Wavuvi tunao nyanyaswaa kila kukichaa,

Ni sisi waandishi wa habari tunaonyanyaswa na kuteswa kutokana na kuandika ukweli,

Ni sisi wazazi tuliopoteza vijana wetu kwa kupotezwa na wasiojulikana,

Tunaomba Mh Membe, usikike kilio chetu Watanzania tuliokosa Matumaini katika Nchi yetu. Tinajua tunakupa mzigo mkubwa na kukuweka katika mazingira hatari.

Lakini kwakua Watanzania tunakuhitaji, hunabudi kubeba mzigo huu uutuee.

Tuna amini kwa busara na uelewa wa nyanja za kimataifa, Nchi yetu itakuwa salama mikononi mwako.

#MembeForPresidence2020

#JiweMustGo
Hapa lile "JIWE KUU" lazima lipondwe kokoto
 
Inabidi huyu Membe na yeye awekewe Microchip kwa ajili ya usalama wake maana kwa kasi hii kale kakikundi ka watu wasiojulikana wanaweza mteka akapotea jumla.
 
Hivi Membe anaurais wa kuongoza nini
Kachaguliwa na nani
Au watu wametumwa kumpromoti
Kuna watu akili zao ndogo sana
Kama kazi mmekosa huko mjini rudie vijijini tuandae mashamba mvua zimekaribia
 
hata penati aliyokosa samatta angekua membe angefunga goli zuri la kimataifa huyu jamaa kila sehemu anaweza.
 
Back
Top Bottom