Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Kwa Mara ya Kwanza historia inaenda kugeuka,
Mwisho miaka 5 tu.

Magufuli Must Go.
Naunga mkono HOJA jamaa hafai,katika UTAWALA wake Watu wengi WAMETEKWA na KUUAWA DHAHIRI,Yaani Ben Saanane Kichwa Olevo Point 7(AAAAAAA) ,Advance Point 3(AAA),Chuo G.P.A >4.5 na alikuwa anasomea Phd unampoteza kisa kuhoji Phd ya maganda ya Korosho? Lissu ameweka wazi kuhusu kuzuiliwa Bombadier na kushauri mambo ya madini eti anaitwa msaliti waziwazi na mtu anatamka hadharani dawa ya msaliti hatakiwi kusurvive kisha baada ya wiki mtu anapigwa risasi 38,kwani siasa ni uadui? kama hautaki kukosolewa achia ngazi.

Kila siku unalalamika tu ohoo tulikuwa tunaibiwa na bla bla kibao wakati kwenye awamu hii ndio wizi mkubwa sana unafanyika.

Wewe umechaguliwa na Lubuva lakini dhana ya kuomba uongozi ili uwatumikie wananchi kwahiyo unatakiwa kufanya mambo yanayomgusa mwananchi,Jiwe alivyoondoa Service charge ya Tanesco kweli amefanya kitu kizuri,nampongeza kwa hilo,Kuondoa road license nalo nampongeza sana.....Atafute washauri wa kiuchumi wamshauri vizuri,achukue ushauri wanaompa kina zitto/upinzani,sio zitto akitaka kufanya press askari wanamzuia huo ni upuuzi.

CCM mshaurini huyo boss wenu afanye mambo yanayom_touch mwananchi moja kwa moja,mambo ya kunnuua bombadia na kujenga Stiglaz gorge ni Ufisadi tu,fanyeni uwekezaji unaobakisha hela nchini(Zitto akili kubwa ameshauri),sio mnafanya miradi inayopeleka fedha nje....Chuma cha kujenga SGR kingetumika CHuma cha kwetu hapa unafikiri tungetengeneza ajira ngapi? Zitto alishauri sana hili swala lakini mmeliacha ona sasa tumeenda kutengeneza ajira nchi za watu.
 
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Yupo Ofisini
 
Membe ataliunganisha taifa
 
Katiba inasema miaka mitano. Hiyo saba labda akatawale kijijini kwenu huko. 2025 mwisho ateuliwe mwingine kama katiba inavyoagiza

Katiba inasema mnaruhusiwa kufanya Mikutano ya Kisiasa jee mnaifanya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…