Uvumilivu una kikomo mkuu,wanaweza wakapigwa biti wakakaza.Hahahahahaha mkuu hao wa kuungana wanatoka wapi?na jamaa alivyo jorowe akiona mnataka kwenda kinyume ni kupigwa karipio kali wanaufyata huwa wanakor
Baada ya nchi kwenda Mrama na kukithiri kwa utekaji na mauaji Wazee wa ccm wameamua kwa dhati kwamba jiwe muda wake usizidi miaka mitano , hii ni piga ua galagaza ! Sasa imebidi wamrejeshe Membe , wamesema ni heri Chadema ibebe nchi kuliko huyu mtu , yako mengi sana lakini kwa uchache nikumegee haya .embu nipe summary mkuu,imekuwaje kwani,huku Bushi hatuelewi kinachoendelea?
Alishinda mbona , ukitaka kujua alishinda hebu check jamaa alivyokataza mikutano ya siasa gafla baada ya kusikia mamuvi anatembea nichi nzima kutoa shukrani
Magu hajamaliza mda wake mkuu#MembeForPresidency
#MagufuliMustGo
Jiwe hana chake 2020,Membe atosha kuungurumisha bendera ya SISIEMU 2020.Hii CCM manunuzi ya Rais Magufuli imebuma baada ya kujielekeza kwenye kuichafua taswira ya nchi kimataifa. Mambo hayaendi ila propaganda. Wamejaa ubinafsi, chuki dhidi ya waiso upande wao.
CCM Membe inaonekana kama kutakiwa sana ili iokoe jahazi. Sisi kwetu macho kodo.
Waeule wa Rais wameharibu, wameharibu mpaka wakaharibu. CCM Membe imeitwa kwa sauti yenye mpazo wa kishindo. Siku ikiitika Magufuli atasahau mpaka usajili. Tuvute subira mwanzoni mwa 2019 nyeti za kuku hadharani. Mzee Membe anajiweka rasmi hadharani. Nyuma ana wastaafu kibao, wasomi na wenye kuitakia mema nchi hii.
Mimi Chadema hayo hayanihusu. Ninachofanya ni kuhakikisha 2020 jiwe hakatizi.
we hujaona hata makomando vitani wengine huvaa miwaniAnafanya mazoezi na miwani
Mkuu inatosha kuelezea haya.Mkuu hebu dadavua vzuri hapo kiroho ilikuwaje wakakataliwa na kwanini hyo.combination ilikataa
Siyo ccm hawa ni matumbo kwanza mengine baadaeUvumilivu una kikomo mkuu,wanaweza wakapigwa biti wakakaza.
Kwani mwenye mpini ni nani kwanzaJapo sijawahi kuona la ziada kwa Benard lakini kama kuna kampeni za kupata mtu mwingine hapo 2020 ntaunga mkono juhudi hizo kwa nguvu zoote. Chonde chonde jamani, tuwekeeni hata BATA DUME tutamvumilia maana upinzani tulioutegemea kashautia jela na hata tukifanyaje mtaiba kura tu.
2020
Akipewa mitano au saba ingine itaonekana ni kama miaka 1000Membe kwanza CCM baadae,Mambo ya kusema kila rais chini ya CCM aongoze miaka 10 imepitwa na wakati,hii miaka mi3 tu inaonekana kama 100 ndio apewe mingine mi5? Hapana Membe ATOSHA.
Baada ya nchi kwenda Mrama na kukithiri kwa utekaji na mauaji Wazee wa ccm wameamua kwa dhati kwamba jiwe muda wake usizidi miaka mitano , hii ni piga ua galagaza ! Sasa imebidi wamrejeshe Membe , wamesema ni heri Chadema ibebe nchi kuliko huyu mtu , yako mengi sana lakini kwa uchache nikumegee haya .