Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahaa ndio ujue kuwa sehemu kubwa ya watanzania ni mazwazwaMembe Katuunganisha Bavicha Na Uvccm
Aiseekoroshooo oyeeee,hata kama hatang'oka sasa hivi picha aka image kaipata LOLS..kuwa u presidency ni wito unatakiwa userve watanzania na sio kuiba matrilion yetu,lol
Aisee
Edger devisHujawahi kuona mchezaji anacheza na miwani?
Certified Idiot upo
Haya maajabu eti Membe hana kashfa!!
Kuna mwanaCCM yoyote Nguli anayetaka urais asiye na kashfa?
Kwa mfano kuhusu Membe:
1/Mahakama yetu ya Kadhi kwetu sisi waislam imeishia wapi? Misikitini tulimwona sana Membe akija kujipendekeza alipowekwa chini na 'Wagalatia' kupitia maaskofu wao, tukaona amenywea!!
2/Zile pesa alizohongwa(Alipewa?!) na Gadafi zilikuwa za nini na amezipeleka wapi? Si alisema Gadafi ni rafiki yake wa karibu na angemtumia kuwasadia wananchi wa Kusini, vipi zile Pesa?
3/Pesa za chenji ya Rada ziko wapi? Si alisema atakufa nazo, vipi mbona Kimya? Katulizwa? Hiyo Akaunti ya hizo pesa iko wapi? Mbona vitabu havipo mashuleni? Au Oxford wamegoma kuvichapisha?
4/Siasa za Misikitini na Fitna zake huku Lindi ameshaziacha, yeye kazi yake ni kununua mashekh ili wampigie makofi na kumsema vizuri huku Kusini ili iweje?
5/Membe ameshaacha Siasa za 'kichawi'(Fitna za CCM) tena kwa wanaCCM wenzake? Kwani alishamwomba msamaha Mudhihir, Hawa Ghasia nk? Mbunge wa jimbo la Mtama lakini kutwa anakesha kufitini wananchi wa jimbo la Nchinga, Lindi mjini nk.
6/Zile Pesa za mradi wa viwanda vya Saruji kule Kusini ziko wapi? Si alisema ni yeye mwenyewe pekee mwenye uwezo wa kuvijenga? Kwani amebadili mawazo au umezirudisha kwa wahisani au amezitoa sadaka kama anavyofanya Fisadi Lowassa makanisani na Misikitini kwa jina za marafiki zake?
7/Siasa za kutumia madhabahu za makanisa ameiga kutika Monduli au ni Original version yake? Akiwa rais ataacha au ataendeleza ili 'wagalatia' waendelee kuzugwa?
8/Ilikuwaje akabadili msimamo wa Gesi ya Mtwara na kuwasaliti wananchi wa kusini.
Mwanzoni walikuamini uliposema Gesi itabaki Mtwara lakini Mwishoni ukawageuka na kusema Gesi lazima iende Dar na Msoga ifike, ukawaacha wananchi wa Mtwara wakipata kichapo cha JWTZ, ulikaa kimya kama maji mtungi, vipi ni woga tu au ni zile Pesa kutoka China kwenye ile akaunti yetu kulee......
*Ni UCHAFU mtupu kwa mwanaCCM mwenye akili timamu kumshabikia Lowassa, Membe au Sitta ili awe mgombea urais wa CCM 2015.
Hakuna lolote minyoosho inaendelea mpaka 2025.
#tabu ipo pale pale #

Hahahaha. Usojali mkuu hata Wallance Karia naye ni rais pale TFF.Hahaha eti rais membe ,hizi siasa hizi
Mkuu serious ... katika huo mpango lodilofa na yeye pia yupo "!!? kama hayupo huyo basi nitahesabu kuwa hizi ni kelele za chura tu ...Baada ya nchi kwenda Mrama na kukithiri kwa utekaji na mauaji Wazee wa ccm wameamua kwa dhati kwamba jiwe muda wake usizidi miaka mitano , hii ni piga ua galagaza ! Sasa imebidi wamrejeshe Membe , wamesema ni heri Chadema ibebe nchi kuliko huyu mtu , yako mengi sana lakini kwa uchache nikumegee haya .