General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,303
- 23,064
Hata kabla ya muda anaweza kwendaMagu hajamaliza mda wake mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata kabla ya muda anaweza kwendaMagu hajamaliza mda wake mkuu
jembe hiloEdger devisView attachment 914435
aah mimi nasoma comments tu mkuu reluxnini tena?? lol
aah mimi nasoma comments tu mkuu reluxnini tena?? lol
Woooyoooooooo.... Member membe. Magulia kituMembe kwanza CCM baadae,Mambo ya kusema kila rais chini ya CCM aongoze miaka 10 imepitwa na wakati,hii miaka mi3 tu inaonekana kama 100 ndio apewe mingine mi5? Hapana Membe ATOSHA.
Ukiwemo wewe piaAkili za watanzania ni sawa na Nyumbu tu
Haahahaahahah waache waendelee kuishabikia CCM .......CCM OYEEEEEESultani Mbowe kafuta Uchaguzi chadema, hiyo ndo habari ya mujini!
AsHaahahaahahah waache waendelee kuishabikia CCM .......CCM OYEEEEEE
MAGUFULI OYEEEEEEEE
MAKONDA OYEEEEEEE
BASHIRU OYEEEEE
WAZIRI WA SHERIA OYEEEEE
YESU OYEEEEEEE
MUHAMAD OYEEEEE
YEHOVA OYEEEEE
aah mimi nasoma comments tu mkuu relux
Sijawahi kuwa mtanzania ila ni mkongo anayeishi nchini TanzaniaUkiwemo wewe pia
(Idiotism at work,you just think about your loaf and not your future), Membe is the best president ever compared to Jiwe
Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
kabisa " jiwe liende tupowa mkuu,leo humu tunacheza na kuenjoy, no stress..lol
Hujawahi kuona mchezaji anacheza na miwani?