Nyamagondo
JF-Expert Member
- Mar 28, 2018
- 648
- 765
CCM na itawale milele maana hakuna namna
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
edgar devidsHujawahi kuona mchezaji anacheza na miwani?
Bora we msoma comments mi natoa like tu.aah mimi nasoma comments tu mkuu relux
Hakuna la afadhali naona ni ufalme uliotaka kuwauza watanzania wao na ardhi yao unataka kurudi bora hata jiwe lisilotembea kuliko hao walioyafanya wote tuliyaona. Wala wasirudi , hakuna cha membe wala kinana wasepe zao huko!Mkuu eti Membe huyu si ni ukoo ule ule wa majizi ya nchi hii?
Hahahahahaha nawashangaa sana wanaompigia debe huyu mtuHakuna la afadhali naona ni ufalme uliotaka kuwauza watanzania wao na ardhi yao unataka kurudi bora hata jiwe lisilotembea kuliko hao walioyafanya wote tuliyaona. Wala wasirudi , hakuna cha membe wala kinana wasepe zao huko!
Kwa hiyo na Lowasa alivokuja CHADEMA ilikua ni manunuzi?Manunuzi waliyofanya yatawagharimu sana CCM...
Wengi wa wabunge na madiwani toka upinzani kwenda CCM walionunuliwa ni kaa la Moto huko CCM ...Pole pole na wenzake wamechemka sana..
mimi ni mfuasi wa chadema niko tayari kuunga mkono hata shetani akinihakikishia kuufutilia mbali utawala huu wa wasiojulikana. Binafsi nakeleka sana hii tabia ya kuuana, kutekana, kutesana kuliko hata huo umaskini anaosabishia taifa.Siasa ni Science upepo umegeuzwa ghafla naona hapa membe amekusanya wafuasi wengi Sana
Naona hapa adui sio upinzani tena, Watu adui yao ni Maisha mazuri na kuwa na pesa
Huu urafiki wa ccm na Chadema na wasio na vyama sio bure
Nyumbu wengiNg'ombe wengi mavi mengi
Mkiendelea kurundika wanachama lichama litapasuka hili
Nadhani athari zinaonekana sasa
Sasa hawa wageni wakiamsha popo tutapoteana ati
Wamelogwa hawa, bora haya kuliko yale asee, kwa saa tunaongelea uzalendo wananyooshwa watu waliopitisha mihadarati na kupata mabilioni ya kuwekeza kwenye viwanda ss wanyonge tuwatetee hao !Hahahahahaha nawashangaa sana wanaompigia debe huyu mtu
Una hoja lakini hukuzijenga kushawishi watu waamini huyo ndiye anayefaa kuwa Rais wa nchi hii.Bernard Membe, sikia kilio toka kwetu,
Ni sisi vijana tusio na ajira na tuoiokosa matumaini,
Ni sisi Wafanyabiashara tuliokatika mazingira magumu na unyanyasaji toka kwa mamlaka za serikali,
Ni sisi Wana CCM tuliokosa imani na Mwenyekiti wa sasa,
Ni sisi Wanafunzi tuliokosa mikopo,
Ni sisi Wakulima wa korosho, tusiojua korosho zetu tuzipeleke wapi,
Ni sisi Wavuvi tunao nyanyaswaa kila kukichaa,
Ni sisi waandishi wa habari tunaonyanyaswa na kuteswa kutokana na kuandika ukweli,
Ni sisi wazazi tuliopoteza vijana wetu kwa kupotezwa na wasiojulikana,
Tunaomba Mh Membe, usikike kilio chetu Watanzania tuliokosa Matumaini katika Nchi yetu. Tinajua tunakupa mzigo mkubwa na kukuweka katika mazingira hatari.
Lakini kwakua Watanzania tunakuhitaji, hunabudi kubeba mzigo huu uutuee.
Tuna amini kwa busara na uelewa wa nyanja za kimataifa, Nchi yetu itakuwa salama mikononi mwako.
#MembeForPresidency2020
#JiweMustGo
Acha wanyooshwe tu maana hakuna namnaWamelogwa hawa, bora haya kuliko yale asee, kwa saa tunaongelea uzalendo wananyooshwa watu waliopitisha mihadarati na kupata mabilioni ya kuwekeza kwenye viwanda ss wanyonge tuwatetee hao !
Hakuna shida, hata kama mnamtaka Membe au Nape wote ni CCM hivyo inaonyesha hamjiamini na hamko tayari kushika dola kwani mnapenda CCM itawale.
Lkn habari ndo hiyo, Mbowe kafuta Uchaguzi mkuu chadema!