Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]....when you see a toad..a Nigerian proverb in China Achebe's "Arrow of God". Acknowledge source!
 
Mkuu eti Membe huyu si ni ukoo ule ule wa majizi ya nchi hii?
Hakuna la afadhali naona ni ufalme uliotaka kuwauza watanzania wao na ardhi yao unataka kurudi bora hata jiwe lisilotembea kuliko hao walioyafanya wote tuliyaona. Wala wasirudi , hakuna cha membe wala kinana wasepe zao huko!
 
Hakuna la afadhali naona ni ufalme uliotaka kuwauza watanzania wao na ardhi yao unataka kurudi bora hata jiwe lisilotembea kuliko hao walioyafanya wote tuliyaona. Wala wasirudi , hakuna cha membe wala kinana wasepe zao huko!
Hahahahahaha nawashangaa sana wanaompigia debe huyu mtu
 
Manunuzi waliyofanya yatawagharimu sana CCM...

Wengi wa wabunge na madiwani toka upinzani kwenda CCM walionunuliwa ni kaa la Moto huko CCM ...Pole pole na wenzake wamechemka sana..
Kwa hiyo na Lowasa alivokuja CHADEMA ilikua ni manunuzi?
 
Mim
Siasa ni Science upepo umegeuzwa ghafla naona hapa membe amekusanya wafuasi wengi Sana

Naona hapa adui sio upinzani tena, Watu adui yao ni Maisha mazuri na kuwa na pesa

Huu urafiki wa ccm na Chadema na wasio na vyama sio bure
mimi ni mfuasi wa chadema niko tayari kuunga mkono hata shetani akinihakikishia kuufutilia mbali utawala huu wa wasiojulikana. Binafsi nakeleka sana hii tabia ya kuuana, kutekana, kutesana kuliko hata huo umaskini anaosabishia taifa.
 
Hahahahahaha nawashangaa sana wanaompigia debe huyu mtu
Wamelogwa hawa, bora haya kuliko yale asee, kwa saa tunaongelea uzalendo wananyooshwa watu waliopitisha mihadarati na kupata mabilioni ya kuwekeza kwenye viwanda ss wanyonge tuwatetee hao !
 
Bernard Membe, sikia kilio toka kwetu,
Ni sisi vijana tusio na ajira na tuoiokosa matumaini,

Ni sisi Wafanyabiashara tuliokatika mazingira magumu na unyanyasaji toka kwa mamlaka za serikali,

Ni sisi Wana CCM tuliokosa imani na Mwenyekiti wa sasa,

Ni sisi Wanafunzi tuliokosa mikopo,


Ni sisi Wakulima wa korosho, tusiojua korosho zetu tuzipeleke wapi,

Ni sisi Wavuvi tunao nyanyaswaa kila kukichaa,

Ni sisi waandishi wa habari tunaonyanyaswa na kuteswa kutokana na kuandika ukweli,

Ni sisi wazazi tuliopoteza vijana wetu kwa kupotezwa na wasiojulikana,

Tunaomba Mh Membe, usikike kilio chetu Watanzania tuliokosa Matumaini katika Nchi yetu. Tinajua tunakupa mzigo mkubwa na kukuweka katika mazingira hatari.

Lakini kwakua Watanzania tunakuhitaji, hunabudi kubeba mzigo huu uutuee.

Tuna amini kwa busara na uelewa wa nyanja za kimataifa, Nchi yetu itakuwa salama mikononi mwako.

#MembeForPresidency2020

#JiweMustGo
Una hoja lakini hukuzijenga kushawishi watu waamini huyo ndiye anayefaa kuwa Rais wa nchi hii.
 
Back
Top Bottom