Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa waliohamia ndani ndio wameanzisha vugu vugu la Twende na Member 2020Ng'ombe wengi mavi mengi
Mkiendelea kurundika wanachama lichama litapasuka hili
Nadhani athari zinaonekana sasa
Sasa hawa wageni wakiamsha popo tutapoteana ati
Are you sure magufuli hana uhasama ?mimi sijui lini watu wamejioganaizi kiasi hiki!
niwe mkweli, simkubali Magufuli kwa baadhi ya mambo lkn Membe simkubali kabisa, ataendeleza makundi, uhasama na JK atarejea kwa sura ya Membe.
Sitaki turejee tulikotoka milele
Membe hana tofauti na Lowassa kwa wizi/ufisadi…..hafai hata kidogo kuwa rais.
Mpuuzi kweli wewe, Nyie ndo mnatumia miguu kufikiriHivi ubaya wa magufuli uko wap...membe membe,mnataka kuweka business as usual ikulu..pa.mbaf kabsa...
Maguful is the best choice Tz has ever made
Fanyeni kaz.achanen na ujinga.
Membe will never ever ever ever get into that chair,..believe me
Labda kama serikal serikal imelala.hahahahahahahahahahahhahahahahahahahahahahahahaahahahahahahahah
Certified Idiot upo
ni baada ya kipigo au kipondo kisicho angalia huyu ni ccm au cdmNimecheka Sana hii combination ya Chadema na ccm haijawahi tokea kweli Membe for presidence
Nini kimetokea kwa elimu yangu hapa nimetoka kapa kabisa labda ikifika kesho Jtatu nitajua maana Leo Jpili
Kweli siasa ya science Huu upendo na kupendana kwa ccm na Chadema nini kimetokea?
mkuu tatizo wa sasa aliingia bila rushwa lakini ndo anashangilia rushwa ya kununua wabunge dah
Wakishauriwa wao kuhusu mwenyekiti wao wanang'aka ,leo wanaanzisha kampeni dhidi ya CCM. Safi sana mheshimiwa Rais umewagonga panapouma na pameuma hasa. Nyie badala ya kuhangaika na CCM ni bora mkatafuta mgombea atakayesimama na CCM ifikapo 2020. Go Magu Gooooo...Kwahiyo ukawa 2020 kiti cha uraisi hamkitaki ?
Kweli ukawa ni ki wonder kinasubiri uzinduzi tu
SoSultani Mbowe kafuta Uchaguzi chadema, hiyo ndo habari ya mujini!
Mkuu una mahaba binafsi na Magufuli kiasi kwamba umeamua kuukwepa ukweli.Membe ndio angeharibu zaidi....hii nchi ingekuwa kama Zimbabwe au Venezuela mkuu
...go for Magufuri over Membe mkuu
Anafanya mazoezi na miwani
Inaweza kuwa aisee kuna wakushindana na Raisi mbona ni impossibleWanajifurahisha mkuu