Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

embu nipe summary mkuu,imekuwaje kwani,huku Bushi hatuelewi kinachoendelea?
Baada ya nchi kwenda Mrama na kukithiri kwa utekaji na mauaji Wazee wa ccm wameamua kwa dhati kwamba jiwe muda wake usizidi miaka mitano , hii ni piga ua galagaza ! Sasa imebidi wamrejeshe Membe , wamesema ni heri Chadema ibebe nchi kuliko huyu mtu , yako mengi sana lakini kwa uchache nikumegee haya .
 
Km hujapewa hela bc unaumwa yale magonjwa sugu ya watz ya choyo na unafiki na hata jk mlimponda hv hv ila sasa mnamkumbuka.....
 
Hii CCM manunuzi ya Rais Magufuli imebuma baada ya kujielekeza kwenye kuichafua taswira ya nchi kimataifa. Mambo hayaendi ila propaganda. Wamejaa ubinafsi, chuki dhidi ya waiso upande wao.

CCM Membe inaonekana kama kutakiwa sana ili iokoe jahazi. Sisi kwetu macho kodo.

Waeule wa Rais wameharibu, wameharibu mpaka wakaharibu. CCM Membe imeitwa kwa sauti yenye mpazo wa kishindo. Siku ikiitika Magufuli atasahau mpaka usajili. Tuvute subira mwanzoni mwa 2019 nyeti za kuku hadharani. Mzee Membe anajiweka rasmi hadharani. Nyuma ana wastaafu kibao, wasomi na wenye kuitakia mema nchi hii.

Mimi Chadema hayo hayanihusu. Ninachofanya ni kuhakikisha 2020 jiwe hakatizi.
Jiwe hana chake 2020,Membe atosha kuungurumisha bendera ya SISIEMU 2020.
 
Mkuu hebu dadavua vzuri hapo kiroho ilikuwaje wakakataliwa na kwanini hyo.combination ilikataa
Mkuu inatosha kuelezea haya.
fikiria mwenyewe
siyo Kila mambo ni ya kuweka public
japo tunaweza kutumia code language..
Yatosha kuelezea
 
Japo sijawahi kuona la ziada kwa Benard lakini kama kuna kampeni za kupata mtu mwingine hapo 2020 ntaunga mkono juhudi hizo kwa nguvu zoote. Chonde chonde jamani, tuwekeeni hata BATA DUME tutamvumilia maana upinzani tulioutegemea kashautia jela na hata tukifanyaje mtaiba kura tu.
#JIWE MUST GO.
 
Kwani mwenye mpini ni nani kwanza
Jk alishawahi sema ogopa madaraka ya rais
 
Baada ya nchi kwenda Mrama na kukithiri kwa utekaji na mauaji Wazee wa ccm wameamua kwa dhati kwamba jiwe muda wake usizidi miaka mitano , hii ni piga ua galagaza ! Sasa imebidi wamrejeshe Membe , wamesema ni heri Chadema ibebe nchi kuliko huyu mtu , yako mengi sana lakini kwa uchache nikumegee haya .

Asante mkuu,huyu hata kumuachia miaka mitano ni kutuonea wananchi,Chato itakuwa kama Geneva wakati sehemu nyingine za nchi ziko underdeveloped...He must go!
 
Back
Top Bottom