Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Hii movement ya "MEMBE4PRESIDENCY" inaweza kupelekea mtu kupimwa mkojo... Chezea jiwe!
 
Huyu jamaa wanampup tu..tusubiri yajayo
 
Certified Idiot upo
 
Hakuna lolote minyoosho inaendelea mpaka 2025.

#tabu ipo pale pale #
 
 
Mkuu serious ... katika huo mpango lodilofa na yeye pia yupo "!!? kama hayupo huyo basi nitahesabu kuwa hizi ni kelele za chura tu ...
 
kwakweli siipendi CCM lakini pogba simpendi zaidi" Naomba hili suala la membe liwe kweli na ikibidi afaulu katika hili azimio lake"... ccm mlitukosea heshima sana kumpatia nchi huyu mkaanga sumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…