Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Umeambiwa hiyo ni picha ya zaman kwa mantiki hii ni kwamba hizi ni propaganda tu.Hivi ushahama chadema?Au Membe ni chadema?Na unachukuliaje kauli ya ccm kutawala milele na ukizingatia saizi unamshabikia Membe ambaye ni ccm?
Kwi! Kwi! Kwi!
 
yaani wanachekesha kweli, Membe amvimbie Magu wapi na wapi

membe jasusi aliyekubuhu anaweza kumvimbia kupitia external force,be careful na majasusi unaweza kuta issue imesukwa na wanaotuibia madini so huyu mtu sio wa kubeza
 
Hakuna shida, hata kama mnamtaka Membe au Nape wote ni CCM hivyo inaonyesha hamjiamini na hamko tayari kushika dola kwani mnapenda CCM itawale.

Lkn habari ndo hiyo, Mbowe kafuta Uchaguzi mkuu chadema!
Kwaiyo tukusaidieje aunt
 
Hakuna la afadhali naona ni ufalme uliotaka kuwauza watanzania wao na ardhi yao unataka kurudi bora hata jiwe lisilotembea kuliko hao walioyafanya wote tuliyaona. Wala wasirudi , hakuna cha membe wala kinana wasepe zao huko!

bora wao walikula na sisi watumishi tukala kwa kupandishiwa mishahara,seminar, posho na kupandishwa madaraja, wanafunzi wala lamba boom na mikopo,jiwe lakotoka limeingia anaenjoy ni Alhaji DAB na genge lake ambaowanaingiza mizigobandalinibila kudaiwa kodi
AONDOKE, AONDOKE AONDOKE........ARUDISHE NCHI YETU
 
ccm ni ileile ndugu zanguni. hata aingie nana itabakia vilevuke...ccm ni mfumo na sio sura za watu.
 
Hii CCM manunuzi ya Rais Magufuli imebuma baada ya kujielekeza kwenye kuichafua taswira ya nchi kimataifa. Mambo hayaendi ila propaganda. Wamejaa ubinafsi, chuki dhidi ya waiso upande wao.

CCM Membe inaonekana kama kutakiwa sana ili iokoe jahazi. Sisi kwetu macho kodo.

Waeule wa Rais wameharibu, wameharibu mpaka wakaharibu. CCM Membe imeitwa kwa sauti yenye mpazo wa kishindo. Siku ikiitika Magufuli atasahau mpaka usajili. Tuvute subira mwanzoni mwa 2019 nyeti za kuku hadharani. Mzee Membe anajiweka rasmi hadharani. Nyuma ana wastaafu kibao, wasomi na wenye kuitakia mema nchi hii.

Mimi Chadema hayo hayanihusu. Ninachofanya ni kuhakikisha 2020 jiwe hakatizi.
Mungu ni wa ajabu sana ! anakutia kibri ili aje akuteketeze !
 
Tatizo jamaa kajiimarisha sana kanda ya ziwa na kaskazini, huko ndiko anakotegemea zaidi kama lolote litatokea. Wee huoni ziara mara kwa mara mikoa ya huko. Wakati kuna mikoa hajakanyaga kabisa tangu aingie madarakani
 
Naunga mkono HOJA jamaa hafai,katika UTAWALA wake Watu wengi WAMETEKWA na KUUAWA DHAHIRI,Yaani Ben Saanane Kichwa Olevo Point 7(AAAAAAA) ,Advance Point 3(AAA),Chuo G.P.A >4.5 na alikuwa anasomea Phd unampoteza kisa kuhoji Phd ya maganda ya Korosho? Lissu ameweka wazi kuhusu kuzuiliwa Bombadier na kushauri mambo ya madini eti anaitwa msaliti waziwazi na mtu anatamka hadharani dawa ya msaliti hatakiwi kusurvive kisha baada ya wiki mtu anapigwa risasi 38,kwani siasa ni uadui? kama hautaki kukosolewa achia ngazi.

Kila siku unalalamika tu ohoo tulikuwa tunaibiwa na bla bla kibao wakati kwenye awamu hii ndio wizi mkubwa sana unafanyika.

Wewe umechaguliwa na Lubuva lakini dhana ya kuomba uongozi ili uwatumikie wananchi kwahiyo unatakiwa kufanya mambo yanayomgusa mwananchi,Jiwe alivyoondoa Service charge ya Tanesco kweli amefanya kitu kizuri,nampongeza kwa hilo,Kuondoa road license nalo nampongeza sana.....Atafute washauri wa kiuchumi wamshauri vizuri,achukue ushauri wanaompa kina zitto/upinzani,sio zitto akitaka kufanya press askari wanamzuia huo ni upuuzi.

CCM mshaurini huyo boss wenu afanye mambo yanayom_touch mwananchi moja kwa moja,mambo ya kunnuua bombadia na kujenga Stiglaz gorge ni Ufisadi tu,fanyeni uwekezaji unaobakisha hela nchini(Zitto akili kubwa ameshauri),sio mnafanya miradi inayopeleka fedha nje....Chuma cha kujenga SGR kingetumika CHuma cha kwetu hapa unafikiri tungetengeneza ajira ngapi? Zitto alishauri sana hili swala lakini mmeliacha ona sasa tumeenda kutengeneza ajira nchi za watu.
Sisi wana CCM tunamshauri sana tatizo hashauriki, sasa kama hataki kusikia na kutekeleza tunayo mshauri nyie timu membe chukueni hatua
 
Hii CCM manunuzi ya Rais Magufuli imebuma baada ya kujielekeza kwenye kuichafua taswira ya nchi kimataifa. Mambo hayaendi ila propaganda. Wamejaa ubinafsi, chuki dhidi ya waiso upande wao.

CCM Membe inaonekana kama kutakiwa sana ili iokoe jahazi. Sisi kwetu macho kodo.

Waeule wa Rais wameharibu, wameharibu mpaka wakaharibu. CCM Membe imeitwa kwa sauti yenye mpazo wa kishindo. Siku ikiitika Magufuli atasahau mpaka usajili. Tuvute subira mwanzoni mwa 2019 nyeti za kuku hadharani. Mzee Membe anajiweka rasmi hadharani. Nyuma ana wastaafu kibao, wasomi na wenye kuitakia mema nchi hii.

Mimi Chadema hayo hayanihusu. Ninachofanya ni kuhakikisha 2020 jiwe hakatizi.
Muda ni muamuzi mzuri sana, tuombe uhai tuone yatakayojiri..................................................................
 
Bernard Membe, sikia kilio toka kwetu,
Ni sisi vijana tusio na ajira na tuoiokosa matumaini,

Ni sisi Wafanyabiashara tuliokatika mazingira magumu na unyanyasaji toka kwa mamlaka za serikali,

Ni sisi Wana CCM tuliokosa imani na Mwenyekiti wa sasa,

Ni sisi Wanafunzi tuliokosa mikopo,


Ni sisi Wakulima wa korosho, tusiojua korosho zetu tuzipeleke wapi,

Ni sisi Wavuvi tunao nyanyaswaa kila kukichaa,

Ni sisi waandishi wa habari tunaonyanyaswa na kuteswa kutokana na kuandika ukweli,

Ni sisi wazazi tuliopoteza vijana wetu kwa kupotezwa na wasiojulikana,

Tunaomba Mh Membe, usikike kilio chetu Watanzania tuliokosa Matumaini katika Nchi yetu. Tinajua tunakupa mzigo mkubwa na kukuweka katika mazingira hatari.

Lakini kwakua Watanzania tunakuhitaji, hunabudi kubeba mzigo huu uutuee.

Tuna amini kwa busara na uelewa wa nyanja za kimataifa, Nchi yetu itakuwa salama mikononi mwako.

#MembeForPresidency2020

#JiweMustGo
Eeh Mungu tuokoee sisi waafrica wa pumbavu na tusiwe kama huyu general mangi tusiona mbele hivi kweli huoni kazi ya magu kwelii au ulitaka kuendelea na kazi yak ya madawa ujambazi mix biashara za ujanja ujanja acheni kununuliwa tufanye kazi boss wako mwambie kashashindwa na soon tunamtumbuaa na yy
 
Akipewa mitano au saba ingine itaonekana ni kama miaka 1000
Tutanyooka, si wakumpa tena miaka 5. Chondechonde jamani, mtaani hakuna ela ,watumishi huu mwaka wa 3 hakuna ongezeko la mshahara, kwani mwenzake kikwete alikuwa anaongeza mishahara ela alikuwa anatoa wapi hadi yeye ashindwe. Najua raisi hawezi tokea upinzani kamwe kwa hii pini aliyo weka. Dawa yake movement ianze hukohuko CCM. Ili kama mabadiliko yatokee huko
 
Back
Top Bottom