[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kawafanya nini Membe ninyi watanzania wenzangu(ccm + chadema + others)hata penati aliyokosa samatta angekua membe angefunga goli zuri la kimataifa huyu jamaa kila sehemu anaweza.
Kazi anayofanya zaidi ya kuzorotesha maisha na ustawi wa jamii. Wakulima wanalia, aliingia madarakani alikuta mbolea mfuko wa urea elfu 40, leo elfu 60. Aliingia madarakani alikuta gunia la mahindi elfu 75 leo gunia hilo elfu 15. Kikwete aliingia madarakani alikuta kima cha chini cha mshahara wa mwl alikuwabanapokea elfu 95, ametoka ameacha anapokea 545,000. Yeye ameongeza elfu 15 tu leo kima cha chini 560 ,Baba ako ameingia ikulu amekaa miaka mitatu hajapandisha mshahara kwa mtumishi yeyote wa nchi hii zaidi ya kulipa increment mara moja tu kati ya mara tatu zilizo hitajika. Kama huna data utamwona babaako amethubutu,lakini ukifuata magezeti utaona amefanya, hamna chochote anachofanya pale ikulu. Enzi za kikwete wananchi walikuwa wanajenga zahanati vifaa vya kiwandani wanapelekewa, leo fedha za miradi hazipelekwi kwenye halmashauri, wananchi wamejenga majengo ya shule,zahanati na miundombinu mingine zinabomoka na mvua.hakuna fedha za kunulia vifaa vya viwandani toka serikali kuu,halmashauri zinaambiwa zitumie mapato ya ndani, kwani wakati wa kikwete mapato ya ndani hayakuwepo ,mbona fedha za miradi toka serikali kuu alikuwa anapeleka kwenye halmashauri. Mwambie babako aliyemdanganya afuta LGCDG kwenye halmashauri hakumtakia afya njema, alimdanganya. Hizo fedha ndizo zilizo kuwa zinasaidia kusapoti miradi iliyokuwa inatekelezwa kwa nguvu za wananchi.leo hii mamiradi mengi yanabomokana tu huko vijijiniEeh Mungu tuokoee sisi waafrica wa pumbavu na tusiwe kama huyu general mangi tusiona mbele hivi kweli huoni kazi ya magu kwelii au ulitaka kuendelea na kazi yak ya madawa ujambazi mix biashara za ujanja ujanja acheni kununuliwa tufanye kazi boss wako mwambie kashashindwa na soon tunamtumbuaa na yy
Mikwara tu..Ghadafi na JK nani alikuwa na nguvu...Ghadafi kafia kwenye mtaroKwani mwenye mpini ni nani kwanza
Jk alishawahi sema ogopa madaraka ya rais
Wewe sio mwana CCMMtaumbuka tuuh!! Ata tuliyoko ccm hatugawi kura zetu kwa bwana stone na chamani hatuhami..
Membe ni mpasua mawe yaliyoshindikana.huyu membe vipi jamani mbona ameanza kusemwa kwa kasi ya ajabu!!
Kama hataki kukosolewaje ?!!Siungi mkono hujuma dhidi ya kiongozi aliyeko madarakani. Namkubali kwa sasa kwa sababu ni rais wangu.
Nakukumbusha tu lolote lawezekana ikiwapo nia....na kamwe usichezee nguvu ya umma.
Jifunze kwa yaliyotokea Libya, Misri na kwingineko.
Watanzania tumpe support kiongozi aliyeko madarakani kutimiza ahadi zake.
Hata kukosoa nako kunasaidia kuyatambua madhaifu yetu
Ataingilia mlango upi?acheni kujidanganya hii sio ccm ya kikweteNikiangalia kwa upande wa CCM Mwanadiplomasia Bernard Membe ndiyo mtu pekee anayeweza kupindua meza kibabe pale CCM.
ππππ€·ββοΈπ€¨Safi Membe troti troti upate "SABU" hapo 2020.
You have spoken my mind.mimi sijui lini watu wamejioganaizi kiasi hiki!
niwe mkweli, simkubali Magufuli kwa baadhi ya mambo lkn Membe simkubali kabisa, ataendeleza makundi, uhasama na JK atarejea kwa sura ya Membe.
Sitaki turejee tulikotoka milele