Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Naona hii habari ya Membe ni kama ya Mange Part II.

Anapigwa chini kishamba mno. Watu wanao anza kupiga kelele mitandaoni wana nia ya kumdhalilisha tu kama Mange alivyo dhalilika.
 
Membe ni mwana diplomasia hata Tundu Lissu angekaa nae meza moja wakayazubngumza
Angetafuta njia za kukabiliana na upinza si biashara ya nunua nunua rudia uchaguzi.
Mdada, forget about upinzani, they are just useless, huko upinzani kooote hakuna anayeweza kuwa Rais kwa sasa, Wajipange upya,
Mijitu gani inanunuliwa na kukubali kununulika na Bashite eti,
Wtf.
 
Naona hii habari ya Membe ni kama ya Mange Part II.

Anapigwa chini kishamba mno. Watu wanao anza kupiga kelele mitandaoni wana nia ya kumdhalilisha tu kama Mange alivyo dhalilika.
Hata mimi nimeliona hili, wanaenda kumdhalilisha tu,
 
Membe upepo unamwendea vizuri
Mpaka 5 inatosha
Labda upepo wa Bahari, ile generation ya JK yote ni corrupt, bora tubaki na hawa hawa vichwamaji ila mambo yanafanyika,
CCM hi mbovu ila upinzani ni Hovyo zaidi,
Very disappointed na hawa wapinzani,
Wakae Pembeni tujenge nchi kwanza. Their time will come when they are ready.
 
si ccm walishabadili katiba kwamba mwenyekiti pekee ndio anatakiwa kugombea uraisi? naomba kusahihishwa
 
Naona mnataka kupasua jiwe kwa kulimwagia maji ok ngoja tusubiri huu muujiza
 
Usichokijua ni kwamba hiyo Miliion 50 kwa kila kijiji ilikuwepo kwenye Ilani ya Uchaguzi 2015 sa sijui kama angekuwa Membe ndiye mgombea angefuta hicho kipengere ama vipi! Jibu unalo mwenyewe.

Watanzania walitaka mabadiliko, Sasa jiulize mabadiliko waliyoyataka Watanzania wakati awamu ya nne inatoka madarakani tungepata kitu cha tofauti kama Membe angekuwa Rais? Unamuona Membe akiwa na utofauti kati yake na Membe?

Mabadiliko ya Kweli ypo kwa JPM. Tulizoea kuiba sasa fanya kazi kihalali upate mshahara wako wa halali. Membe angekuwa Rais wala asingeweza kuajili kila Mwananchi wa Tanzania. Membe anekuwa Rais labda angekodi Ndege sio kununua katu, SGR mradi angepewa Mchina tena kwa mkopo wa riba ya hatari, Meli ziwa Victoria! Sidhani Mradi wa maji Rufiji asingewaza hilo! namuombea JPM amalize salama kwenye awamu zake zote 2 alafu tutarudi tena hapa kufanya tathimini.
Personally I didn't trust the Dude, sikumchagua,
But honestly anafanya kazi nzuri sana, kuliko marais wa awamu zote tatu waliopita,
Tunataka maendeleo sasa, siasa na ufala gani sijui not now.
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] mnaotoa hizi thread angalieni msiende maeneo ya gym.
 
Back
Top Bottom