much know
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 11,461
- 17,183
Yawezeka wewe ndo ulizoea kuiba ila sisi tuliokuwa tuishi kwa juhudi zetu na halili mvua na jua letu. Mfano tu kwa mkulima wa mahindi auze debe shilingi 3000 kisa jamaa alifunga mipaka 2017 kisiasa.Usichokijua ni kwamba hiyo Miliion 50 kwa kila kijiji ilikuwepo kwenye Ilani ya Uchaguzi 2015 sa sijui kama angekuwa Membe ndiye mgombea angefuta hicho kipengere ama vipi! Jibu unalo mwenyewe.
Watanzania walitaka mabadiliko, Sasa jiulize mabadiliko waliyoyataka Watanzania wakati awamu ya nne inatoka madarakani tungepata kitu cha tofauti kama Membe angekuwa Rais? Unamuona Membe akiwa na utofauti kati yake na Membe?
Mabadiliko ya Kweli ypo kwa JPM. Tulizoea kuiba sasa fanya kazi kihalali upate mshahara wako wa halali. Membe angekuwa Rais wala asingeweza kuajili kila Mwananchi wa Tanzania. Membe anekuwa Rais labda angekodi Ndege sio kununua katu, SGR mradi angepewa Mchina tena kwa mkopo wa riba ya hatari, Meli ziwa Victoria! Sidhani Mradi wa maji Rufiji asingewaza hilo! namuombea JPM amalize salama kwenye awamu zake zote 2 alafu tutarudi tena hapa kufanya tathimini.
Hivi kwanini waajiriwa mnahisi kila anaepitia wakati mgumu sasa alikuwa mwizi that's very cheap politics.