mbere
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 6,967
- 6,465
Nimetimiza miaka 10 ya ulevi, leo 9 octoba ni maadhimisho - JamiiForumsHabari wakuu
Kutokana na hali inavyoenda ya uendeshaji wa nchi ni wazi rais anatakiwa abadilishwe kupitia sanduku la kura mwaka 2020
Hivyo sisi watanzania tunapenda na tunatamani kusikia sauti ya kiongozi wetu mpendwa mwenye nia ya kulivusha taifa kwa hapa lilipokwamia, ndugu, mheshimiwa na mwanadiplomasia Benard Membe
Jitokeze wazi tusikie kauli yako watanzania tufarijike kwani mwaka 2020 ni jirani sana
Nawasilisha
Umeona jinsi ulevi unavyokusumbua lakini