Zesh
JF-Expert Member
- Apr 27, 2017
- 15,395
- 25,049
Wakurugenzi wenyew hawampendiWakimpitisha tu membe mzee magu nae anamwaga mboga kwa kutumia wakurugenzi na polisi wake afu nchi ileee kwa upinzani. Kumbuka hata magu akikatwa kwenye kura za maoni ataendelea kuwa kitini kipindi cha uchaguzi mkuu hadi rais atakayechaguliwa aapishwe