Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Wakimpitisha tu membe mzee magu nae anamwaga mboga kwa kutumia wakurugenzi na polisi wake afu nchi ileee kwa upinzani. Kumbuka hata magu akikatwa kwenye kura za maoni ataendelea kuwa kitini kipindi cha uchaguzi mkuu hadi rais atakayechaguliwa aapishwe
Wakurugenzi wenyew hawampendi
 
Kama mnamuona anafaa mwambieni anzishe chama chake au ahamie CHADEMA ili mumchague 2020
Ila sisi bado tunamuhitaji JPM aendelee kuwanyoosha mafisadi
 
Jk kaondoka boom ilikua 7500 na baada ya Jpm ni 8500.Unaweza kuja na bajeti ya mikopo elimu ya juu kipind cha jk na jpm?

Budget zao tukizichanganua hapa chini ndo utaelewa

7500 x 100 = 750,000
8500 x 20 = 170,000

nadhani umenielewa ninamaanisha nini
 
Ccm iondolewe madarakani huu ndio mjadala tuache kujadili uppuzi, hakuns mwenye uwezo wa kumtikisa mwenyekiti wake katika ccm hakuna..
sisiemu itaondolewa vp, maana hata wakipata kura 0 bado wanatangazwa washindi... Inawezekana Membe ana hofu ya Mungu, angalau haki iwepo na kura ziheshimiwe... Ndo maana itikadi za vyama zimewekwa pembeni, wooooote wameungana kwa wimbo mmoja: M4P
 
Kweli jiwe aachie tu aachane na ile katiba ya ccm aliyoisimamia kuibadirisha ili wengine waruhusiwe kugombea
 
Kama kuna mwalimu kashasha wa siasa atudadavulue kitaalam hii strategy ya siasa ya membe inaitwaje na anayotumia JIWE inaitwaje.natanguliza shukurani
 
Karibu itachusha!! Mbwa mwitu hata akivaa ngozi ya kondoo anabaki kuwa mbwa mwitu tu!!
 
Tunaangalia uhusiano wa kimataifa. Sio uhusiano wa kijiji
that cant be a very strong criterion, why uhusiano wa kimataifa, ili Kuomba misaada kama JK?
Waziri wa Mambo ya Nje anaweza kuteuliwa kwa hiyo criteria. Not the President.
 
Budget zao tukizichanganua hapa chini ndo utaelewa

7500 x 100 = 750,000
8500 x 20 = 170,000

nadhani umenielewa ninamaanisha nini
Kafanye utafiti then urudi.Usiongee kitu usichokijua. Bajeti ya jk kwa mwaka ilikua kwenye billion 300+ kwa jpm ni 400+.Sijui ka hili unalijua. Ushawah sikia migomo chuo kikuu kama enzi hizo?
 
Jukwaa limevamiwa na wanamitindo sio tena wanasiasa
2015 mende ndio alikuwa na ushawishi mkubwa baada ya lowassa kutoka
Akuingia hata tano bora
Leo jiwe ndio mwenyekiti wa chama na ndio Rais wa nchi
Katibu ni bashir Ally
Mwenezi ni pole pole
Kuna mwizi gani atakae penya hapo na kuchukua fomu labda 2025 huko.
 
that cant be a very strong criterion, why uhusiano wa kimataifa, ili Kuomba misaada kama JK?
Waziri wa Mambo ya Nje anaweza kuteuliwa kwa hiyo criteria. Not the President.
Uhusiano ulipo kati yako na jirani yako ni kuombana chumvi?
 
Back
Top Bottom