Kwahiyo hapa tumekutana ndotoni auEndelea kuota
Atakuwa hana mvutoAtajaribu Jiwe akimaluza
Mdada, forget about upinzani, they are just useless, huko upinzani kooote hakuna anayeweza kuwa Rais kwa sasa, Wajipange upya,Membe ni mwana diplomasia hata Tundu Lissu angekaa nae meza moja wakayazubngumza
Angetafuta njia za kukabiliana na upinza si biashara ya nunua nunua rudia uchaguzi.
Hata mimi nimeliona hili, wanaenda kumdhalilisha tu,Naona hii habari ya Membe ni kama ya Mange Part II.
Anapigwa chini kishamba mno. Watu wanao anza kupiga kelele mitandaoni wana nia ya kumdhalilisha tu kama Mange alivyo dhalilika.
Labda upepo wa Bahari, ile generation ya JK yote ni corrupt, bora tubaki na hawa hawa vichwamaji ila mambo yanafanyika,Membe upepo unamwendea vizuri
Mpaka 5 inatosha
Sultani Mbowe kafuta Uchaguzi chadema, hiyo ndo habari ya mujini!
Personally I didn't trust the Dude, sikumchagua,Usichokijua ni kwamba hiyo Miliion 50 kwa kila kijiji ilikuwepo kwenye Ilani ya Uchaguzi 2015 sa sijui kama angekuwa Membe ndiye mgombea angefuta hicho kipengere ama vipi! Jibu unalo mwenyewe.
Watanzania walitaka mabadiliko, Sasa jiulize mabadiliko waliyoyataka Watanzania wakati awamu ya nne inatoka madarakani tungepata kitu cha tofauti kama Membe angekuwa Rais? Unamuona Membe akiwa na utofauti kati yake na Membe?
Mabadiliko ya Kweli ypo kwa JPM. Tulizoea kuiba sasa fanya kazi kihalali upate mshahara wako wa halali. Membe angekuwa Rais wala asingeweza kuajili kila Mwananchi wa Tanzania. Membe anekuwa Rais labda angekodi Ndege sio kununua katu, SGR mradi angepewa Mchina tena kwa mkopo wa riba ya hatari, Meli ziwa Victoria! Sidhani Mradi wa maji Rufiji asingewaza hilo! namuombea JPM amalize salama kwenye awamu zake zote 2 alafu tutarudi tena hapa kufanya tathimini.
Ccm ipi? Mwenyekit gan atampitisha kwenye KAMATI KUU?Atapita CCM na hautaamini
Kwani anayewauza hao wabunge hapo Ufipa ni nani?!Membe ni mwana diplomasia hata Tundu Lissu angekaa nae meza moja wakayazubngumza
Angetafuta njia za kukabiliana na upinza si biashara ya nunua nunua rudia uchaguzi.
Kupitia CHAUMA au? Maana huko CCM mnajua kabisa uchochoro umefungwa na mnajitia ufahamu tu2020TWENDE NA MEMBE✔
Ndio maana nikakwambia hautaaminiCcm ipi? Mwenyekit gan atampitisha kwenye KAMATI KUU?