Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

He served as prime minister from 1 may 1961 to 22 January 1962. ( Correct me)

Kutoka kipindi hicho hatujawai kuwa na rais kutoka nafasi hiyo. ( Nisahishe)

Karibu!
Uko sahihi ni kweli alikuwa waziri mkuu wa Tanganyika huru na baadae akawa rais wa jamhuri toka 9 dec 1962.

Hoja yako ilikuwa hakuna mtu aliyewahi kuwa waziri mkuu na baadae akawa Rais.

Julius nyerere alikuwa waziri mkuu na kisha baadae Rais wa jamhuri.
 
Hivi Membe ana rekodi gani kiuongozi ? Mimi namuona ni wale wale . He is not genuine, ndumilakuwili, anang’ata na kupuliza. Hatuhitaji watu kama hao tena, bora Lissu achukue nchi, ndio mwarobaini tosha.
 
Anyway, post yangu ya awali nilikuwa sijamalizia na ndio maana iliishia "...itaendelea na JPM hata kama leo ataamua kuhamishia..." It's incomplete na wala sikudhania kwamba nilii-post!

Back to your contribution!! Nakubaliana kwa 100% na yote uliyoandika!! Na kwa kuongeza tu, binafsi natarajia yafuatayo:

6. Iwe ni kwa sababu ya "charity begins at home" or else, natarajia Membe anaweza kuwa serious kwenye gas industry! I still believe in the gas industry compared to the mining industry!

7. Hapo # 2 umesema kukua uchumi at a micro-stage kwa sababu ya kufufua mabenki na sekta binafsi... nami niongeze kwa kusema kwamba, angekuwa na favorable macroeconomic policy inayo-stimulate SMEs. Macroeconomic policy ya JPM hakuna inachaongalia zaidi ya kukusanya kodi kubwai zaidi huku akisahau we need more SMEs ili tuongeze ajira nyingi zaidi, uzalishaji mkubwa zaidi, mauzo mengi zaidi, mapato mengi zaidi and eventually, kodi kubwa zaidi kwa serikali!

8. I believe Membe anaweza kuunda miundombinu shirikishi kiuchumi! Anyway, ingawaje namuunga mkono JPM kwenye SGR, swali ambalo mara zote nimekuwa nikihoji ni ikiwa wanafahamu ni kwanini Transporters wameacha kuitumia TAZARA na kugeukia kwenye malori ingawaje TAZARA ipo vizuri!

Hapo Concern yangu kubwa ikiwa ni kama kweli JPM anafahamu, kwa mfano, why SGR to Kigali and not to somewhere else! Kwavile Membe ni kind of easy to work with, angeweza kutoa fursa ya kuchukua ushauri wa aina mbalimbali na hatimae ku-conclude ikiwa ni kweli SGR SASA na wapi inatakiwa kuwa priority route!

Tumchukulie JK kwa mfano, SGR ni project yake lakini aliamini ingefanya vizuri zaidi palipo na Bagamoyo Mega Port... hii ndiyo hapo juu niliyoita ujenzi wa miundombinu shirikishi kiuchumi na usipofanya hivyo unaweza kujikuta unaishia kujenga white elephants infrastructure projects! Na hii inakuwa hatari zaidi hizi infrastructure zinapokuwa financed na commercial banks. Naona siku hizi watu wanailaani China huku tukisahau kwamba, no commercial loan with no collateral!

9. Membe angekuwa katika nafasi kubwa sana ya kujenga na kukuza uhusiano na ushirikiano wa kimataifa kwa sababu, pamoja na kwamba angekuwa yeye ndie First Diplomat practically lakini pia angekuwa ni Diplomat anayefahamu kwa kina nafasi yake hiyo inataka nini na kwa maslahi yapi! Very sorry to Dr. Mahiga kwa sababu I doubt if he can freely practice what he knows and believe.

10. Naamini Membe angeendeleza ile move ya JK ya ku-impose Corporate Culture kwenye public sekta! Corporate culture ni muhimu sana kwenye sekta ya umma ili ku-boost efficiency. JK alifanya haya kwa kufanya headhunting kwenye private na pale ilipobidi, alifanya headhunting hadi kwa diaspora!
 
11. Member kingereza anajua angetembeatembea nje huko kushawish foreign investors, kuja kuwekeza, Sio kama babahuyu kakaa sebuleni tu kaz utemi
12. Member ni non allies tungefaidi kotekote West na Asia Sio Kama jiwe kilasiku kuponda west na kufagilia china watemi Wenzie.
13.membe pombe tungekunywa wakati wowote mtu binafsi atakapo jisikia
 
Ulivyoongelea Bagamoyo Port umenigusa mtima wangu na kunikumbusha maono ya Jakaya na Membe potelea pote madhaifu waliyokuwa nayo. Ukiangalia juu juu unaweza ukachukulia kawaida sana, lakini SGR, BAGAMOYO PORT na NATURAL GAS MTWARA basi taifa hili lingejenge nguvu kubwa sana kiuchumi na kukuza ushawishi hapa Africa na Asia hasa sehemu kama India, Pakistan na Uchina. Sijui kwanini hili swala Raisi Magufuli alilichukulia kibinafsi (Personal) sana. Hivi ni nani alimshauri vibaya kwenye hili ???

Mkuu Chige muda si mrefu naanzisha huu mjadala wa Bandari hapa jukwaani.
Please stay tunned.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…