Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Rafiki sweetheart kwa hii avatar yako ya sasa nimeiona chura live kwa mara ya kwanza![emoji1][emoji1][emoji1]Kwani wanaokuaga marais inakuaga kwa faida ya nani?
Rafiki sweetheart kwa hii avatar ya sasa nimeiona chura live kwa mara ya kwanza![emoji1][emoji1][emoji1]
sijui kwako lakin, mm sijaona hii kama ni kawaida inakuaje mtu anapigiwa kampeni ya kuwa raisi wakati kama huu ambao ni mgumu kwake kuliko kipindi kileKwani huyo unayemtaka wewe ni kwa faida ya nani?
Hamna kikundi..watu wanapima tu upepo mitandaoniWatalam wa waswala ya siasa naomba ufafanuzi kwenye hili, imekuaje bernard membe amepata support kubwa hivi ya kumpandisha kwenye kiti cha uraisi 2020 kuliko 2015 ambapo ndo ingekua njia nyepesi ya kuupata??
Je? kutakuana watu, kikundi cha watu kinampigia debe awe aje kua raisi kwa manufaa yao?
Huu mtafaruku ni ndani ya CCM yenyewe au unatoka nje ya Ccm?'
Mkuu,japo sina upele moyoni mwangu lkn nakiri kwamba umenikuna hasa... tatzo lako hata nikija pm hutaki kuonyesha ushirikianoKwani wanaokuaga marais inakuaga kwa faida ya nani?
Kikundi cha wananchi..!Watalam wa waswala ya siasa naomba ufafanuzi kwenye hili, imekuaje bernard membe amepata support kubwa hivi ya kumpandisha kwenye kiti cha uraisi 2020 kuliko 2015 ambapo ndo ingekua njia nyepesi ya kuupata??
Je? kutakuana watu, kikundi cha watu kinampigia debe awe aje kua raisi kwa manufaa yao?
Huu mtafaruku ni ndani ya CCM yenyewe au unatoka nje ya Ccm?'
Nimekushika mwenyewe..! Nitatoga mtu mimi..[emoji48][emoji48][emoji48]Darling hiyo sio chura ni hips..
Mkuu,japo sina upele moyoni mwangu lkn nakiri kwamba umenikuna hasa... tatzo lako hata nikija pm hutaki kuonyesha ushirikiano
Mzima lkn?
Hahahahahahahahahahaaaaaaa Mkuu,nje ya jamii forum mimi ni mtu mwenye meno yote kamili... mwambie Mzigua asiniogope hata kidogo!atakua anaogopa hayo mapengo.
NAAM BENARD MEMBE MZEE WA CHIPONDA FOR PRESDENTIAL 2020.atakua anaogopa hayo mapengo.