Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Mnaanza kampeni kabla ya muda tutawafungia tena. Polisisiem ni watoto wa panya wote.
 
Membe naye mtu wa dili tu hana lolote lile la maana lakutupa unafuu.
Bora mpiga dili lakini mwenye UTU na UBINADAMU.

Anayejua anaongoza binadamu wenye mahitaji na faraja. Anaejua kuna kundi kubwa la vijana lisilo na mwelekeo.
Anayejua ulimwengu unaendaje na biashara zinaendeshwaje.

N.B Siyo lazima awe Membe
 
Pole kutoeletwa jibu. Tutawafungia nyie team Membe mnaanza kampeni kabla ya muda. Hope umeelewa sasa.
Hujajibu swali. Umesema mtawafungia, nimekuuliza mtawafungia kina nani? Unajibu team Membe tumeanza kampeni. Bado either kwa makusudi umeacha kujibu, au pengine hukuelewa swali.

Mtawafungia kina nani wapi? kufanya kitu gani?
 
Ni washabiki na wapenzi tu, sidhani kama yeye ana shida. Wenyewe(kambi jiwe) ndiyo wanahanyahanya wakisikia jina lake.
Huna unaitwa mpango wa kazi, Uvccm wakishapigwa na njaa kama kipindi hiki ndio huibuka na idea za ajabu ajabu ili wakupige pesa.
Kuna wengine saa hizi wanashawishiwa kugombea ubunge 2020 lazima uvccm wapige ela vocha na ya nauli hapo.
 
🙂🙂🙂🙂🙂
 
Back
Top Bottom