FRANC THE GREAT
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 5,500
- 8,060
Usijali! Kesho Kutakuwa Na Topics Za Rebeca 83jamani hizi topics za Membe leo kulikoni?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usijali! Kesho Kutakuwa Na Topics Za Rebeca 83jamani hizi topics za Membe leo kulikoni?
UsichukieLabda kwa mama yako
Toka Jana umeanza kutoa michango ya mtu mwenye akili timamu sijui kesho utakuwajeMiluzi mingi humpoteza mbwa, wahenga walinena.
Mbwa anaujua mluzi wa bwana wake..Miluzi mingi humpoteza mbwa, wahenga walinena.
Hiyo itakuwa 2050View attachment 913562
Kila niionapo hii picha huwa nafarijika sana huku nikiwaza siku yake ya kuapishwa pale uwanja wa Taifa akinamama akina baba wenye mapenzi ya kweli na nchi yetu watakavyozimia kwa furaha.
Upinzani hawana loloteMkuu kama tunahitaj membe awe raisi, ina maana bado tunahitaji ccm iendelee kuwepo madarakani? Kwa nn hizi nguvu tusiziongezee kwenye wagombea wa upinzani?
Kula tano mkuu twende na tlAaahh kwa haraka haraka utagundua Vijana wa Lumumba upande wa Jiwe ndo hawahawa walofungua nyuzi zakujifanya wanampenda Membe ,ili mradi tu kujaribu kupenyezesha mpango wa membe alonao.
Hapo ndo tunarudi kulee ,jiwe alipopiga marufuku wanachama kuanza kuanza kupiga kampeni zao mapema.
Kwa ufupi..ukiwa na akili ya kawaida, utaona km ni Wafuasi wa membe...lkn kihalisia ni wafuasi wa JIWE ..namwisho Membe atajitoa mwenyewe..
Kimkakati, na Membe ni Mwanasiasa Nguli na mzito WALA HAWEZI KAA AANZISHE VIJIKAMPENI VYA KIPUUZI NAVYOVIONA HUMU .
Hata ivo Rais Ajaye ni Tundu Lissu .
Usijali! Kesho Kutakuwa Na Topics Za Rebeca 83
JPM amewaruga sana wana CCM. Kina Mwigulu na January waunganishe nguvu na Membe. Hata sisi tunataka uchaguzi wa kweli
Kuna hatari ya Membe kufukuzwa uanachama wa ccm, otherwise akanushe kua yuko nyuma ya hizi mbio za kuwania uraisi.JPM amewaruga sana wana CCM. Kina Mwigulu na January waunganishe nguvu na Membe. Hata sisi tunataka uchaguzi wa kweli
Hahahaha kibabuKwanini tu isiwe Lowassa atosha!
Hivi hizi kampeni zinazoendelea unadhani waliozianzisha wanasubiri hadi 2020 ndio mtu wao agombee?Mnazan mabadiliko aliyoyafanya na anayoendelea kuyafanya yatamruhusu membe hata kuchukua fomu?.... MARK MY WORD MAGUFULI KWA UBABE ATAPITA BILA KUPINGWA NDANI YA CCM,, HAKUNA MWANA CMM ATAKAE CHUKUA FORM