Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Nilisema hapa watu wengine siyo wa kuwatishia "nyau"..... Wale waliokuwa vinara wa mapambio ya uchaguzi 2020 ghafla wamenyuti na hatuzisikii tena nyimbo zao.
Wale makamanda wa chadema waliokuwa wakichochea kuni sasa wamehamia kwa Amunike kocha wa Taifa Stars hawaxungumzi tena siasa.
Ndio najiuliza ule ulikuwa ni upepo tu na umeshapita?
 
Kwani wameanza kutoa form za wagombea?
 
Tulidhani mvua itanyesha kwa wenye haki tu badala yake ukame na shinda imekuwa kwa wenye haki na wasio haki.
sasa hivi hata sisi wana ccm tunajuta sema ni kimyakimya hakuna anayesema kiukweli mwenyekiti ana kasoro nyingi .tunaongozwa kwa "mkono wa chuma"
 
Nilisema hapa watu wengine siyo wa kuwatishia "nyau"..... Wale waliokuwa vinara wa mapambio ya uchaguzi 2020 ghafla wamenyuti na hatuzisikii tena nyimbo zao.
Wale makamanda wa chadema waliokuwa wakichochea kuni sasa wamehamia kwa Amunike kocha wa Taifa Stars hawaxungumzi tena siasa.
Ndio najiuliza ule ulikuwa ni upepo tu na umeshapita?
Ni baada ya maccm kuacha kumsakama mbowe aachie uenyekiti wa chadema
 
Back
Top Bottom