Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora Membe mara 9999999 kuliko majuto tuliyo naya sasabora membe mara mia moja. majuto ni mjukuu.
Kwani wameanza kutoa form za wagombea?Nilisema hapa watu wengine siyo wa kuwatishia "nyau"..... Wale waliokuwa vinara wa mapambio ya uchaguzi 2020 ghafla wamenyuti na hatuzisikii tena nyimbo zao.
Wale makamanda wa chadema waliokuwa wakichochea kuni sasa wamehamia kwa Amunike kocha wa Taifa Stars hawaxungumzi tena siasa.
Ndio najiuliza ule ulikuwa ni upepo tu na umeshapita?
sasa hivi hata sisi wana ccm tunajuta sema ni kimyakimya hakuna anayesema kiukweli mwenyekiti ana kasoro nyingi .tunaongozwa kwa "mkono wa chuma"
Kwani mlipoanza mapambio hamkujua kuwa muda bado?Kwani umeanza kutoa form za wagombea?
NashangaaKwani umeanza kutoa form za wagombea?
Unashangazwa na nini?!Nashangaa
Ni baada ya maccm kuacha kumsakama mbowe aachie uenyekiti wa chademaNilisema hapa watu wengine siyo wa kuwatishia "nyau"..... Wale waliokuwa vinara wa mapambio ya uchaguzi 2020 ghafla wamenyuti na hatuzisikii tena nyimbo zao.
Wale makamanda wa chadema waliokuwa wakichochea kuni sasa wamehamia kwa Amunike kocha wa Taifa Stars hawaxungumzi tena siasa.
Ndio najiuliza ule ulikuwa ni upepo tu na umeshapita?
Jihadhari na unafiki mkuu! Kumchagua huyo mtu si heri Magufuli atawale maisha! Kina vitu na watu mnashabikia hadi napata wasiwasi wa uwezo wenu wa kiakili wa kufikiri
We!!!!!!!! jina LISU akisikia jiwe hilo ghafla chupi inapwayaKwa chadema i hope Lisu anaweza sumbua sana kama akipeperusha bendera ya CDM.
Hatuendi na yeyote zaidi ya Rais wetu mpendwa Magufuli
Kwani Mbowe alichaguliwa Dodoma?!!!Ni baada ya maccm kuacha kumsakama mbowe aachie uenyekiti wa chadema