Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa jinsi vyuma vilivyoshikamana wataungana naye.waulize wenyewe
Habari za muda mabibi na mabwana!
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nawashauri wanachama wenzangu na wananchi kwa ujumla. Mwaka 2020 tusipoteze tena kama ilivyotokea mwaka 2015. Haya yote ni kwa sababu hatukutulia vizuri katika mchujo wa kumpata kiongozi bora.
Karibuni kwa maoni yenu.
Shida ni kwamba kama vile unakimbizwa. Mkuu jambo zito kama hili ulilete ukiwa umetulia .
====
Hadi mnyooke!Endeleeni kulinda bureau de change
Hadi mnyooke!
Chama Dume kinanyoosha tu........ Hakuna kubembelezana!Mtanyooka nyinyi mnalazimisha forex kwa mitutu na hiyo ndiyo njia iliyopitia Zimbabwe
Chama Dume kinanyoosha tu........ Hakuna kubembelezana!
Forex anajua yule fly 2 kia!Watu kama nyinyi hata hilo neno forex unaliona kwenye jf tu hujui maana yake hujui
Forex anajua yule fly 2 kia!
Na wewe unavyoleta taarabu haujui kuwa mda bado?Kwani mlipoanza mapambio hamkujua kuwa muda bado?
HahahahaKikosi cha Membe kiko mafichoni. Wanafanya mambo yao kwa umakini mkubwa. 2020 Jiwe hana chake. Ni lazima arejee Chatou akalime viazi vitamu. Nchi haiwezi kuongozwa na kiongozi katili asiyejali utu kama huyu. Watanzania tumechoka kuonewa na huyu mporipori.
Subiri 2020 ifike
Alishindwa vip 2015 akiwa Waziri wa Mambo ya nje. Mjumbe CC ya CCM akiwa na sapoti ya kaka yake Mh. Rais.???Membe ni Jasusi lililobobea, linaibuka mara moja linafanya operesheni, linapotea , linaibuka tena linapiga operesheni linapotea, mkija kustuka mwaka 2020 Chama kinamuweka Jiwe Pembeni, bendera anakamata Membe, mnabaki mnashangaa tu!