Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
A planned moveMembe again
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
A planned moveMembe again
Kwel sister umeamuwa kwel kwelHow sweet to mention the title ‘rais Membe’.
2020 twende na Membe
Tunataka mkali + hapana asiwe mkali + tunataka anayesafiri + hapana hatutaki Vasco dagama + tunataka anayecheka + hapana hatutaki anayecheka cheka = ?
Tatizo unapokuwa na uwezo Mdogo huoni kitu kama wewe hapo.Unaangalia maslahi yako sisi tunaangalia nchi.Kazi gani gadamn! Naona mmekariri kazi! Kazi mnazungumzia. Tumekuwa na uwezo mdogo kupambanua mambo wafrica.
Hawakupata maendeleo kwa kutumia usanii wa kujifanya unapiga vita ufisadi huku ukirundika kwenu "White elephant projects" ambazo kila unapohubiri maendeleo unaona aibu kuzitaja kama sehemu ya ufanisi wako.
Sasa hapa kati yangu na wewe nan mwenye narrow mind, wewe umekalia kusema kazi wakt watu tunapiga kazi kila mwez tunafanya yetu kweny kodi alaf kweny mafao unasubiria kupewa 25. Mimi huyohuyo nafanya biashara ya mazao ambayo ni ngumu kwasasa ushahid ninao mimi mwenyewe, biashara ndogondogo kodi hazina uhalisia. Mnazungumzia kazi gani nyie watu.Tatizo unapokuwa na uwezo Mdogo huoni kitu kama wewe hapo.Unaangalia maslahi yako sisi tunaangalia nchi.
sio uoga tu, bali hajiamini kabisa/
huyu membe atagombea kupitia CHADEMA na lazima atapate kipigo cha mbwa kokobora membe mara mia moja. majuto ni mjukuu.
Fanya kazi acha kelele jiwe halipigwi konzi.Sasa hapa kati yangu na wewe nan mwenye narrow mind, wewe umekalia kusema kazi wakt watu tunapiga kazi kila mwez tunafanya yetu kweny kodi alaf kweny mafao unasubiria kupewa 25. Mimi huyohuyo nafanya biashara ya mazao ambayo ni ngumu kwasasa ushahid ninao mimi mwenyewe, biashara ndogondogo kodi hazina uhalisia. Mnazungumzia kazi gani nyie watu.
Ccm ndo tunaoumia Sana. Makusanyo ya kodi za vibanda yote yanaenda makao makuu, slow slow na wenzake wanayainjoi. Kwenye ofisi za ccm wilaya na Mkoa njaa kali Sana. Tunajuta kumweka huyu jamaa kiukweli hali ni mbaya kuliko ile miezi 18 ya kufunga mkaja wakati wa Nyerere.sasa hivi hata sisi wana ccm tunajuta sema ni kimyakimya hakuna anayesema kiukweli mwenyekiti ana kasoro nyingi .tunaongozwa kwa "mkono wa chuma"
Hivi aliyeibua mambo ya Membe ni upinzani au Katibu Mkuu wa Jiwe, Bashiru Ali na yule punguwani mwingine waliyemtuma kabla?Mkuu yani hapa kinachofanyika Upinzani wanaamsha presha ili Membe asimamishwe na CCM lakini target yao wanajua Membe wanauwezo wa kumchezesha dele mpoaka wamshinde lakini JPM hawamuwezi kamwe! kwaiyo ndiyo gia yao wamjaze membe alete vurugu ndani chama chake kipasuke wao iwe faida kwao.
We jidanganye na jivike upofu hivyohvyoHii ndiyo Tanzania bwana.
Lakini amini nakwambia wote wanaopiga kelele humu ni waathirika tu wa JPM. Ila siku moja watakuja elewa wale watakaosalia. A matter of time
Ndiisi ameenye kyalakatibu mkuu wa chama cha mapinduzi ameonekana kukerwa na mtu katika mtandao wa twitter anayejiita membe.
hii imesababishwa na mtu huyo kutoa masharti ya kukutana nae yeye kama katibu mkuu wakati akijua kwamba yeye ni mwanachama wa kawaida kama walivyo wanachama wengine
dk bashiru amemtaka mtu huyo anayejiita membe aseme wazi kama yeye sio mwanachama tena wa chama cha mapinduzi